OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Taarifa zinadai Jeshi la Rwanda safari hii walijiandaa sana na hii operesheni. Walikuwa na Intel za kutosha kuhusu namna ya kuiteka Goma na mpango wa kufanya humiliation ya vikosi vyote vilivyopo Goma.Hyo ndo kazi ya jeshi hakuna lelemama,wapelekwe wengine tena wakapambane
Unawekaje bendera nyeupe,hicho ndo tulichowafundisha
Cover iliyotumika ni Wanamgambo wa M23 ila kila mtu anajua kuwa Jeshi la Rwanda ndo M23 na ndo mana saivi Mataifa Makubwa yanamwekea vikwazo Rwanda kwa uhusika wake na M23 huko DRC.Wanamgambo?!
Rwanda haipqswi kuwekewq vikwazo. Usiingize ushabiki .Tulishaandika sana kama vipi Tanzani itoe kikosi chake huko mashariki mwa congo kilicho chini ya jeshi la kimataifa la kulinda amani huko. Waasi wanazidi kuteka maeneo huko, ya nini wanajeshi wetu waaibike huko kama hakuna maslahi kwa nchi? Kagame akiwekewa vikwazo mizigo yake haitapitia bandari za Tanzania. DRC iachwe ijipambanie yenyewe, kama kagame ataimega congo au kuichukua yote aachwe tu ila ajue naye atabondwa na kubondeka
Mmezingatia fedha sana kuna mzigo ulitoka bandarini wazee wa kazi waliuzuia mpaka yule nyau alikuja kulia lia mzigo ukaachiw maafa yake kawageuka haya mpeni na bandari apitishe mizigo yake bure awaachie hao vijana kama kweli aibu tupu hiiKilichoniuma ni heshima aliyopewa Kagame alipokuja pale Airport wakati vijana wetu wameshikiliwa mateka na vikosi vyake.
Sijui tumekuwaje Tanzania.
uko wapi ushabiki wakati tunataka kikosi cha Tanzania kilicho chini ya MONUSCO/SADC kitoke huko?Rwanda haipqswi kuwekewq vikwazo. Usiingize ushabiki .
Tanzania inaoaswa iondoe vikosi vyake huko DRC hakuna justification ya kuwepo huko. Vita vya wenyewe kwa wenyewe havituhusu. Kuwazmajirani sio sababu.
Hatuna muda wa kupoteza kwa wakongoTANZANIA sasa kama nchi. ni wakati wa kwenda kuisaidia congo na sio kutegemea UN MONUSCO na SADIC.
hawa wazungu wanaweza kuhujumu tu ili biashara zao ziende.
Wewe unawaonea huruma kama nani, hujui hao wanajeshi wakienda kwenye hizo mission wanarudi na pesa za kutosha na kuwa na maendeleo!Tulishaandika sana kama vipi Tanzani itoe kikosi chake huko mashariki mwa congo kilicho chini ya jeshi la kimataifa la kulinda amani huko. Waasi wanazidi kuteka maeneo huko, ya nini wanajeshi wetu waaibike huko kama hakuna maslahi kwa nchi? Kagame akiwekewa vikwazo mizigo yake haitapitia bandari za Tanzania. DRC iachwe ijipambanie yenyewe, kama kagame ataimega congo au kuichukua yote aachwe tu ila ajue naye atabondwa na kubondeka
hawa watu ilikuwa tuwape kichapo..tatizo amiri jeshi mkuu wetu yupo soft mno sio mtu wa kufanya maamuzi magumu na pia hataki lawama na anayependa sana kubembeleza kuliko actions..Hii issue ni serious sana. Nilitegemea hivi sasa hatua dhidi ya Rwanda zingekuwa zimeshaanza kuchukuliwa maana uahahidi upo wazi kuwa wanajeshi wa Rwanda zaidi ya 4000 walivuka mpaka kuingia Goma na kuiteka. So it's obvious Wanajeshi wetu waliouliwa waliuliwa na Wanajeshi wa Rwanda na Hawa waliotekwa wametekwa na Jeshi la Rwanda kwa mgongo huu wa M23.
Ukiwawekea Rwanda vikwazo unajiumiza mwenyewe,nchi yetu ni masikini, tunaiitaji rwanda tuweze kujikwamua kiuchumi, wenye uwezo wa kuweka vikwazo ni nchi zilizoendelea za ulaya hukoUna hoja
Ila kwa dharula hii inabidi tuweke hayo pembeni na tuwasaidie hawa watu kuchukua hatua sahihi.
Uingereza hajauliwa wala kutekwa askari wake ila kamwekea vikwazo Rwanda. Sie tunashindwa wapi?
Alafu Rais wao alikuja akapewa na heshima ya Jeshi! That was a great embarrassment to our military.
Wataenda bandari ya Mombasa. Au Beira Msumbiji, kumbuka Kagame ana uhusiano mzuri na Msumbiji, ana askari wake huko wanaoisaidia msumbiji kupambana na magaidi jimbo la cabo delgadoHiv tukizuia tank zao za mafuta kwenda Rwanda wana options nyingine kweli waanze kupanga foleni kwenye petrol station zao akili itawakaa sawa South Africa najua awawezi washaharibu pia
Ndio saizi yao hao wasio na mafunzo,wenye mafunzo wenzao wanawapa kichapoRaia si hana mafunzo?
Kwa hiyo Rwanda aendelee kuua na kuteka askari wetu kwa sababu tu tulimwekea vikwazo tunaumia? Huko CCM mnajaza funza kwenye vichwa vyenu nini?Ukiwawekea Rwanda vikwazo unajiumiza mwenyewe,nchi yetu ni masikini, tunaiitaji rwanda tuweze kujikwamua kiuchumi, wenye uwezo wa kuweka vikwazo ni nchi zilizoendelea za ulaya huko
Tunajua mmeteka wanajeshi wetu ili kuweka hayo masharti na mfanikishe azma yenu ya kutawala Congo Mashariki na kuchukua madini yake.Rwanda haipqswi kuwekewq vikwazo. Usiingize ushabiki .
Tanzania inaoaswa iondoe vikosi vyake huko DRC hakuna justification ya kuwepo huko. Vita vya wenyewe kwa wenyewe havituhusu. Kuwazmajirani sio sababu.
Wewe kama sio mnyarwanda mtutsi basi hufahamu geopolitics. Vita vya Congo vinaathiri nchi zote zinazopakana nazo kwa namna tofauti. Suala la majeshi kuwepo Congo hilo liko nje ufahamu wako huo mdogo.Rwanda haipqswi kuwekewq vikwazo. Usiingize ushabiki .
Tanzania inaoaswa iondoe vikosi vyake huko DRC hakuna justification ya kuwepo huko. Vita vya wenyewe kwa wenyewe havituhusu. Kuwazmajirani sio sababu.
Sasa hamjui cha kufanya? Hamjui wenzenu walifanyaje mwaka 1964 hadi ikaundwa TPDF/JWTZ?hawa watu ilikuwa tuwape kichapo..tatizo amiri jeshi mkuu wetu yupo soft mno sio mtu wa kufanya maamuzi magumu na pia hataki lawama na anayependa sana kubembeleza kuliko actions..
Ni gharama kubwa sana kusafirisha mzigo kutoka Mombasa hadi Rwanda kupitia UgandaWataenda bandari ya Mombasa. Au Beira Msumbiji, kumbuka Kagame ana uhusiano mzuri na Msumbiji, ana askari wake huko wanaoisaidia msumbiji kupambana na magaidi jimbo la cabo delgado
Ni wajinga tu wanaoweza kusema Vita vya Congo havituhusu. Kikubwa ni sie kuvitafsiri kiuchumi zaidi.Wewe kama sio mnyarwanda mtutsi basi hufahamu geopolitics. Vita vya Congo vinaathiri nchi zote zinazopakana nazo kwa namna tofauti. Suala la majeshi kuwepo Congo hilo liko nje ufahamu wako huo mdogo.
Usihadaike na jina,ulizia uwezo wao.Hivi M23 ni jeshi au wanamgambo?