Tetesi: Wanajeshi wa Tanzania na wenzao wa SADC Washikiliwa Mateka kama Mateka wa Vita na Wanamgambo wa M23 huko Goma

Tetesi: Wanajeshi wa Tanzania na wenzao wa SADC Washikiliwa Mateka kama Mateka wa Vita na Wanamgambo wa M23 huko Goma

U
USalama wa nchi yetu siyo jambo la mzaha hata kidogo. Huu utawala wa CCM sasa hivi hauelewi unyeti wa swala hili.
Huwezi kupeleka vijana wetu kimzahamzaha bila ya kuwa na lengo maalum na kuwapa maagizo sahihi ni nini wanatakiwa wakifanye.
Matokeo yake ndiyo haya ya Kagame sasa kujipima nguvu. Safari nyingine ataingia Karagwe!
CCM wako busy na kumsifu mama
 
Hiv tukizuia tank zao za mafuta kwenda Rwanda wana options nyingine kweli waanze kupanga foleni kwenye petrol station zao akili itawakaa sawa South Africa najua awawezi washaharibu pia
Huko ni kuua uchumi wetu wenyewe
 
Wako chini ya ulinzi wapi? Lini? Weka uthibitisho wa picha hapa.🙏🙏🙏
Kuna sehemu kulingana na situation,picha huwa haziruhusiwi,hivi hujui kuna mazishi tu yanaweza kufanyika na ikatolewa amri kua ASIPIGE mtu yeyote picha hadi tukio linakamilika la mazishi?
Kuna mambo yanatokea nchini,yawezekana hujui.
 
Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u

Kwenye taarifa yao, waandishi hawa wameelezwa na Wanamgambo wa M23 kuwa Wanajeshi wetu wanashikiliwa mateka kwenye kambi zao ambapo wameweka bendera nyeupe kama ishara ya ku surrender.

Taarifa hiyo pia imewataja moja kwa moja wanajeshi wa Tanzania na kuelezea kuwa walishiriki kwenye vita dhidi ya M23 na kushindwa mapambano hivyo kuchukuliwa mateka.

Maombi yangu.
Kama taarifa hizi ni za kweli naomba Serikali yetu ianze kuchukua hatua kwa kuwawekea vikwazo Rwanda na kuchukua hatua nyingine za kijeshi dhidi ya Rwanda.

Nimeumia sana kama Mtanzania mzalendo!
View attachment 3252351View attachment 3252359
View attachment 3252361
Haya mambo sio mjuvi , ila kama kweli mbona moyo waniuma , hawa jamaa sasa watwangwe , kama kweli hii haikubaliki, uyu tall uyu inabidi anzia jikoni kwake then Kongo Pumbavu, nipo tiyari kwenda na mishale ya sum toka kwa hadzabe .
 
Wewe kama sio mnyarwanda mtutsi basi hufahamu geopolitics. Vita vya Congo vinaathiri nchi zote zinazopakana nazo kwa namna tofauti. Suala la majeshi kuwepo Congo hilo liko nje ufahamu wako huo mdogo.
Wewe zaidi ya kutype kwenye key board hujui kitu. Uliishawahi hata kupita, JKT? wakati wa vita ya Uganda ulikuwepo?
 
Tunajua mmeteka wanajeshi wetu ili kuweka hayo masharti na mfanikishe azma yenu ya kutawala Congo Mashariki na kuchukua madini yake.
Madini ya DRC yakichukuliwa inakuuma nini?
Madini ya Tanzania mbona hayakuumi?

Unafikiri vita, kija kazi yako itakuwa kushabikia tu.
 
Hii issue ni serious sana. Nilitegemea hivi sasa hatua dhidi ya Rwanda zingekuwa zimeshaanza kuchukuliwa maana ushahidi upo wazi kuwa wanajeshi wa Rwanda zaidi ya 4000 walivuka mpaka kuingia Goma na kuiteka. So it's obvious Wanajeshi wetu waliouliwa waliuliwa na Wanajeshi wa Rwanda na Hawa waliotekwa wametekwa na Jeshi la Rwanda kwa mgongo huu wa M23.
Mkumbuje tuna njaa na hatuna mvua,haya Mambo ya vita ni upumbafu mkubwa
 
Kuna sehemu kulingana na situation,picha huwa haziruhusiwi,hivi hujui kuna mazishi tu yanaweza kufanyika na ikatolewa amri kua ASIPIGE mtu yeyote picha hadi tukio linakamilika la mazishi?
Kuna mambo yanatokea nchini,yawezekana hujui.
Katika propaganda hasa ya vita mateka ni mtaji. Ninachojua hakuna askari wa Tanzania uwanja wa ndege Goma wanaoshikiliwa na hao nguruwe wakaidi wa M23.
 
Tanzania tunazihitaji Congo (DRC) na Rwanda kwa uchumi wetu ila tunaihitaji zaidi Congo( DRC).
 
Under kivili cha UN wanapigana wakiwa na mkono mmoja umefungwa nyuma. Too many rules under UN. Na hizo rules zina effect efficiency yao on the battle field
"Bravo team Do not engage! I repeat do not engage!""
Hamna unaona kabisa upuuzi unatendeka mbele ya macho yako ila unaambiwa usiingilie kulinda amani ni post ya hovyo sana ambayo ukiwa huna nidhamu haivumiliki
 
Naipenda Nchi yangu nzuri ya rwanda.mercenaries kutoka Nchi masikini kama Tanzania tutawashughulikia Kwa nguvu zetu zote.
 
Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u

Kwenye taarifa yao, waandishi hawa wameelezwa na Wanamgambo wa M23 kuwa Wanajeshi wetu wanashikiliwa mateka kwenye kambi zao ambapo wameweka bendera nyeupe kama ishara ya ku surrender.

Taarifa hiyo pia imewataja moja kwa moja wanajeshi wa Tanzania na kuelezea kuwa walishiriki kwenye vita dhidi ya M23 na kushindwa mapambano hivyo kuchukuliwa mateka.

Maombi yangu.
Kama taarifa hizi ni za kweli naomba Serikali yetu ianze kuchukua hatua kwa kuwawekea vikwazo Rwanda na kuchukua hatua nyingine za kijeshi dhidi ya Rwanda.

Nimeumia sana kama Mtanzania mzalendo!
View attachment 3252351View attachment 3252359
View attachment 3252361
Hata kama ni fununu ila hao yuvisisiemu watekwe tu.
 
View: https://x.com/JustinNsengima/status/1896079058368414113?t=SF0Iip8ov1q-ZAASWq1jFw&s=19 Naandika post hii nikiwa na hasira na majonzi. JWTZ haikupaswa kabisa kuingia kwenye udharirishaji huu kama sio maamuzi ya wanasiasa. Nafarijika kwa kitendo cha huyo afisa wetu kuamua kupita kwenye ukaguzi na combat uniform zetu bila aibu kama walivyofanya wengine.... Afande!! You are my hero today. 😡 😢 💪 💪 💪 💯
JWTZ msikubali tena kusikiliza ambitions za wanasiasa. 😭
 
Mhariri mtendaji James Munyaneza anasimulia kwa undani hali hiyo alivyokuwa amejipanga Tshisekedi ..

05-03-2025
Gen (Rtd) Kabarebe exposes Tshisekedi’s failed plan to raise DRC flag in Kigali

View: https://m.youtube.com/watch?v=Ws4AK4V1eGM
The Minister of State in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation in charge of Regional Cooperation, Gen (Rtd) James Kabarebe, has revealed that President Félix Tshisekedi of the Democratic Republic of Congo (DRC) once believed he could invade Rwanda and raise the DRC flag in Kigali.

Speaking at a consultative meeting with members of Rwanda’s Parliament on March 5, 2025, Gen (Rtd) Kabarebe discussed the spread of genocidal ideology in the region, its consequences, and strategies to counter it.

He disclosed that Tshisekedi became convinced of his ability to take over Rwanda when he aligned himself with the FDLR terrorist group in the fight against the M23 rebels.

According to Gen (Rtd) Kabarebe, Tshisekedi’s hostility toward M23 intensified after the group was excluded from peace talks in Nairobi in April 2022. He vowed to eliminate them and "send them back to Rwanda" simply because many of their fighters spoke Kinyarwanda.

“Instead of solely targeting M23, Tshisekedi turned his aggression toward Rwanda. He openly declared that he would fire at M23 fighters and drive them into Rwanda just because they spoke Kinyarwanda and shared aspects of Rwandan culture,” Gen (Rtd) Kabarebe explained.

He further revealed that Tshisekedi, along with FDLR leaders and his military generals, devised a plan to invade Rwanda after defeating M23 in North Kivu. The ultimate goal was to overthrow the Rwandan government, and Tshisekedi envisioned himself raising the DRC flag in Kigali.

“When Tshisekedi launched his offensive against M23, he relied on FDLR forces. The FDLR assured him they would crush M23, pursue them into Rwanda, and that by the time the Commonwealth Heads of Government Meeting [CHOGM] took place in Kigali on June 20, 2022, he would already be in the Rwandan capital, having hoisted the DRC flag. His generals and the FDLR fed him these illusions, and he believed them,” Gen (Rtd) Kabarebe stated.

The CHOGM summit, which brings together leaders from English-speaking nations, was held in Kigali from June 20 to 25, 2022. This event occurred shortly after FDLR and DRC military forces shelled Rwanda’s Musanze District in May and June of that year.

Gen (Rtd) Kabarebe attributed Tshisekedi’s misguided belief in an easy victory to his lack of military experience.
“He was a new president, a civilian with no understanding of warfare. The FDLR convinced him he would win, and he fell for it. He truly believed he could defeat Rwanda and intensified his efforts,” he said.

Despite calls from East African Community (EAC) heads of state urging him to halt attacks on Rwanda, Tshisekedi refused. Instead, he bolstered his military capabilities, preparing for direct confrontation with Rwanda.

As part of this strategy, he collaborated with various militias under the Wazalendo alliance, a coalition known for its anti-Rwandan and anti-Tutsi ideology.

“The Wazalendo militias, especially the Nyatura faction, were created by the FDLR, which embedded its commanders within their ranks to strengthen their influence. Essentially, these so-called Congolese ‘patriotic’ forces are an extension of the FDLR,” Gen (Rtd) Kabarebe explained.

On January 27, 2025, when M23 captured the city of Goma, the DRC army, FDLR, and Wazalendo forces launched an attack on Rwanda’s Rubavu District, killing 16 civilians. Gen (Rtd) Kabarebe revealed that this assault had been planned in advance.

Following M23’s takeover of Goma, Rwanda’s government confirmed intelligence reports indicating that DRC forces, in collaboration with the FDLR, had planned a major offensive against Rwanda. Heavy DRC artillery had been positioned facing Rwanda, ready for an attack.

However, Gen (Rtd) Kabarebe emphasized that Tshisekedi’s plan to invade Rwanda ultimately failed. He credited Rwanda’s robust defense strategies, reinforced after previous attacks on Musanze, for successfully repelling threats, including the attempted invasion on January 27, 2025
 
06 March 2025
Upande mmoja Uganda na Rwanda wakijimegea mapande ya ardhi Congo huku nchi za Burundi, South Africa, Tanzania zikiwa upande wa serikali ya ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=zen7U6OziGg

Huku Uingereza na Marekani zikijitenga na serikali ya Rwanda, Dino Mahtani, mwangalizi wa zamani wa Umoja wa Mataifa kubaini makundi yenye silaha nchini Kongo, anazungumza na ITV News kuhusu nini kinawachochea waasi wa M23 kuanzisha vita vya umwagaji damu nchini humo Congo, ni kwa kiasi gani vinaweza kuongezeka, na ni kwa kiasi gani hazina ya madini adimu mkakati nchini Congo ndiyo kichocheo cha vita kutoisha ....
 
Hatari sana
 
Back
Top Bottom