Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Rais wa Ukraine, jana ametoa taarifa kukanusha uwongo wa Russia kuwa eti maheshi ya Russia yamewazingira askari wa Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wanae delea kuoambana na wanajeshi wa Russia na North Korea, na kuna maeneo askari hao wa Russia na North Korea, hawawezi kuyafikia bila ya kupata hasara kubwa.
Ukraine war latest: Kyiv denies Trump's claims of Ukrainian encirclement in Kursk Oblast.
- Kyiv says Ukrainian troops 'regrouped' in Kursk Oblast, deny encirclement.
WAR UPDATE,
UKRAINE,
RUSSIA,
WAR,
VLADIMIR PUTIN,
DONALD TRUMP,
KURSK OBLAST,
DRONE ATTACK,
UNITED STATES
Ukraine war latest: Kyiv denies Trump's claims of Ukrainian encirclement in Kursk Oblast
Share
by
The Kyiv Independent news deskMarch 14, 2025 10:05 PM6 min read
Ukrainian tank drives on the road in Kursk Oblast, Russia, Sept. 16, 2024. (Oleg Palchyk/Global Images Ukraine via Getty Images)
Listen to this article
8 min
This audio is created with AI assistance
Key developments on March 14:
- Kyiv says Ukrainian troops 'regrouped' in Kursk Oblast, deny encirclement
- Ukrainian drones strike Russian gas facilities, missile depot, source claims
- Ukrainian drones strike Tuapse oil refinery in Russia's Krasnodar Krai, governor says
- Putin still seeks control over Ukraine despite US peace efforts, WP reports
- Ukraine, US discuss fate of Russian-occupied territories, Zelensky says
Ukraine's General Staff on March 14
denied claims that Ukrainian troops were encircled in Kursk Oblast amid Russia's ongoing offensive in the region.
The General Staff said that Russia had been reporting an alleged encirclement of Ukrainian forces in Kursk Oblast "for political purposes and to put pressure on Ukraine and its partners."
The statement came after U.S. President
Donald Trump said that his administration held "productive discussions" with Russian President
Vladimir Putin on March 13, during which he urged him to "spare" surrounded Ukrainian troops.