Wanajeshi wa Ukraine kule Kursk kumbe walishatoroka. Russia yaduwazwa

Siyo lazima kuonyesha ujinga wako

Sosi ya tarif hakuna, ulichokifanya ni mahaba ya kipumbavu kwa kile unapenda

Mnadhalirisha vyuo vyetu Africa nyinyi
Yaani UMEKASIRIKA KABISA hadi kutukana kisa tu nimeweka taarifa isiyoufurahisha moyo wako, ningekuwa karibu UNGENIPIGA JIWE WEWE. Tena umekasirika kuliko hata Zelensky
 
Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.

Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
kwanini watoroke wakati walituaminisha wamelikomboa hilo eneo na kuwa la ukrine
 
Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.

Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Waliopo sio wanajeshi wa ukraine?
 
Unafurahia kutoroka vitani,hata hivyo tunashukuru wamezidiwa
 
Inawezekana wanajeshi waliokuwa wamezingirwa wakawa walishatoroka muda mrefu maana hatusikii story za kukamatwa au kuuliwa. Kila siku ni story tu
Naona umeamua kuandika thread kabisa kuhusiana na hii analyst Yako,ingawa umeshindwa kuweka source
 
Back
Top Bottom