Kwamba hiyo idadi ndogo iliyobaki yenyewe haitaki kutoroka inangoja kifo? Simple mind.Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Kwamba walipotoroka kursk haichukuliwi?Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Yaani wewe unapata taarifa za siri kutoka kwenye uwanja wa mapambano lakini majasusi wa Urusi hawazipati!!!!!!!!!!!!!!!! Halafu mkiambiwa muende VETA mnalalamika!Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka.
Jina lako linaonesha kuwa wewe ni Mkenya...ingekuwa wewe ni Mtanzania tungehakikisha unapelekwa chuo cha VETAMwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Wewe mzee wa VETA, unayo hii taarifa??Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe
Kwamba "Putin ndie aliekuwa kawazunguuka hao wanajeshi wa Ukraine, na alipokwenda kuzungumza na Trump ndio wakapata upenyo wa kumtoroka!?Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Kama wametoroka ni kuwa wameshindwa vita.Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Ninachojua wengi wameuawa na Russia, katika approach ambayo Kiev walifeli ni kuwapeleka wanajeshi Kursk
Wasingeweza kutoroka hata kidogo kwa sababu walikuwa wamezungukwa kila pande
Hiyo habari ya kuzungukwa kila upande ni uwongo.
Askari wa Ukraine walizidiwa nguvu kwenye eneo la Sudzha ambalo ndiyo lilikuwa eneo muhimu kuliko yote, waka-retreat.Hilo eneo tayari limekombolewa na kushikiliwa na majeshi ya Russia, lakini maeneo mengine madogo ya pembeni mwa Kursk bado yapo chini ya udhibiti wa majeshi ya Ukraine.
Leo kuna taarifa inasema Ukraine wanamiliki eneo la square mile 52.Hiyo habari ya kuzungukwa kila upande ni uwongo.
Askari wa Ukraine walizidiwa nguvu kwenye eneo la Sudzha ambalo ndiyo lilikuwa eneo muhimu kuliko yote, waka-retreat.Hilo eneo tayari limekombolewa na kushikiliwa na majeshi ya Russia, lakini maeneo mengine madogo ya pembeni mwa Kursk bado yapo chini ya udhibiti wa majeshi ya Ukraine.
Mbele ya urusi ujanja kwa NATO NA MAREKANI ni kukimbia tu na kujiokoa maisha yao ...hakuna ukomandoo wa rambo first blood part 1 ...kile kichekesho cha 👉don't run don't run....kina wahusuMwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin