Yaani UMEKASIRIKA KABISA hadi kutukana kisa tu nimeweka taarifa isiyoufurahisha moyo wako, ningekuwa karibu UNGENIPIGA JIWE WEWE. Tena umekasirika kuliko hata ZelenskySiyo lazima kuonyesha ujinga wako
Sosi ya tarif hakuna, ulichokifanya ni mahaba ya kipumbavu kwa kile unapenda
Mnadhalirisha vyuo vyetu Africa nyinyi
kwanini watoroke wakati walituaminisha wamelikomboa hilo eneo na kuwa la ukrineMwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Waliopo sio wanajeshi wa ukraine?Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Unafurahia kutoroka vitani,hata hivyo tunashukuru wamezidiwaMwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni Marekani kuihadaa Russia kwa kujidai inawaombea wasamehewe. Marekani ilikuwa inafanya hivyo ikiwa na lengo la kuichelewesha Russia ili askari wa Ukraine waendelee kutoroka na hakika lengo limetimia. Kule Kursk imebaki idadi ndogo sana ya wanajeshi wa Ukraine.
Hakika Marekani ktk hili amefanikiwa kumdanganya Putin
Ha ha ha haWametorokea wapi watafutwe wajinga wakubwa hao
Naona umeamua kuandika thread kabisa kuhusiana na hii analyst Yako,ingawa umeshindwa kuweka sourceInawezekana wanajeshi waliokuwa wamezingirwa wakawa walishatoroka muda mrefu maana hatusikii story za kukamatwa au kuuliwa. Kila siku ni story tu