I dont like killings., Ukrain wanapigania taifa lao kwa umoja wao, they are independent country., hawakupaswa kupigwa mabomu na kuuliwa kinyama., nchi yao haikuwa na vita, walikuwa wametulia asubuhi wakaamka wanapigwa mabomu kila upande, it is painful
Hakuna raia wa ukrain hata mmoja anayemlaumu rais wao, vichanga na wanawake wanauliwa mpaka wagonjwa hospitalin wanapigwa mabom
Hakuna sababu ya ugomvi na chuki za marekani dhidi ya russia Ukraine akawa ndio muhanga wa kuuliwa watu wao, na kutaka kuporwa dola yao , namchukia sana putin