Wanajeshi wa Ukraine walioko DRC watakiwa kuondoka

I dont like killings., Ukrain wanapigania taifa lao kwa umoja wao, they are independent country., hawakupaswa kupigwa mabomu na kuuliwa kinyama., nchi yao haikuwa na vita, walikuwa wametulia asubuhi wakaamka wanapigwa mabomu kila upande, it is painful

Hakuna raia wa ukrain hata mmoja anayemlaumu rais wao, vichanga na wanawake wanauliwa mpaka wagonjwa hospitalin wanapigwa mabom

Hakuna sababu ya ugomvi na chuki za marekani dhidi ya russia Ukraine akawa ndio muhanga wa kuuliwa watu wao, na kutaka kuporwa dola yao , namchukia sana putin
Mkuu vipi Wamarekani na NATO walivyowaangamiza waarabu Iraq, Libya na Afghanistan?
 
endelea kumchukia pengne chuki zako kwake zinaweza zikawa baraka zaidi kwenye maisha yake
 
I dont like killings., Ukrain wanapigania taifa lao kwa umoja wao, they are independent country., hawakupaswa kupigwa mabomu na kuuliwa kinyama., nchi yao haikuwa na vita, walikuwa wametulia asubuhi wakaamka wanapigwa mabomu kila upande, it is painful

Hakuna raia wa ukrain hata mmoja anayemlaumu rais wao, vichanga na wanawake wanauliwa mpaka wagonjwa hospitalin wanapigwa mabom

Hakuna sababu ya ugomvi na chuki za marekani dhidi ya russia Ukraine akawa ndio muhanga wa kuuliwa watu wao, na kutaka kuporwa dola yao , namchukia sana putin
Jielimishe kabla ya kuandika Vitu humu.
Lini hiyo Ukraine palikuwa na Amani 100%?
Tangia 2014 mpaka hapo juzi kabla ya mrusi...
Nationalist walikuwa wakipiga mabomu eneo la Donbas.
Leo hii watu wa Donbas wameanza kulipiza, unatokea wewe unaanza kutamani mpaka kuwa raia wa Ukraine.
 
.
Screenshot_20220311-052422.jpg
 
Labda wanajeshi hao wawe wameokotwa jalalani... Vita au kupigana is not an option.. ndo maana jeshi la tz walivyotangaza Ajira na wakataka form four mkabak mnalalamika... Jeshi ni kujitoa. tena watakua happy vizur tu...

Hizo WWW ilikuwa kipindi lile cha Jeshi la Wakoloni wanajeshi hawana mke wala watoto yaani Jeshi la sasa ivi ulete izo WWW utajikuta pekee yako front wana wote wamedoj au wamekula OMO na TOSS
 
I dont like killings., Ukrain wanapigania taifa lao kwa umoja wao, they are independent country., hawakupaswa kupigwa mabomu na kuuliwa kinyama., nchi yao haikuwa na vita, walikuwa wametulia asubuhi wakaamka wanapigwa mabomu kila upande, it is painful

Hakuna raia wa ukrain hata mmoja anayemlaumu rais wao, vichanga na wanawake wanauliwa mpaka wagonjwa hospitalin wanapigwa mabom

Hakuna sababu ya ugomvi na chuki za marekani dhidi ya russia Ukraine akawa ndio muhanga wa kuuliwa watu wao, na kutaka kuporwa dola yao , namchukia sana putin
Chuki za Marekani na Urusi zimepelekeaje mapigano haya Ukraine?

Kwamba wanaopigana pale Ukraine ni Marekani na Urusi?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Hizi akili zingine bwana, unajua kazi ya mwanajeshi kweli? Ukishaingia Jeshini furahaa kubwa ni kuingia Uwanja wa mapambo...hiki ndiyo sababu ya wanajeshi kutumia WWW katika kuendesha maisha yao.
Labda wanajeshi wa nchi nyingine ila wa hapa bongo hata kwenda Congo huwa wanaenda kwa mashaka sana,wanaogopa mno kupasuliwa ubongo!!
 
Safi acha waende wakamshughulikie Mrusi alievamia nchi yao.
 
Jielimishe kabla ya kuandika Vitu humu.
Lini hiyo Ukraine palikuwa na Amani 100%?
Tangia 2014 mpaka hapo juzi kabla ya mrusi...
Nationalist walikuwa wakipiga mabomu eneo la Donbas.
Leo hii watu wa Donbas wameanza kulipiza, unatokea wewe unaanza kutamani mpaka kuwa raia wa Ukraine.
Hiyo ya Donbas ni propagada ya russia na wewe umeichukua kama ilivyo ukaiweka kichwani
 
Mkuu vipi Wamarekani na NATO walivyowaangamiza waarabu Iraq, Libya na Afghanistan?
Nawachukia sana Wamarekani na NATO kwa hilo lakini pia nachukia mauaji Ukrain kwa watu ambao hawana hatia kuuliwa na kupigwa mabomu
 
Back
Top Bottom