Wanajeshi wa Urusi waanza kimbia Kherson

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
667
Reaction score
1,582
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa.

Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS.

Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani.

Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu.
 
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa

Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS

Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani

Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
View attachment 2324685
Nonsense huu ni mwezi wa 2 mnasema urusi wanaondoka kwenye huo mji
 
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa

Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS

Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani

Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
View attachment 2324685
No one but us.we are Russian military.
Kaulimbiu .
Hiyo ndo wanapita wanaume kwa sasa
Screenshot_20220815-200239-01.jpg

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa

Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS

Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani

Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
View attachment 2324685
Kumbe wameondoka hawakuondoshwa.
 
Sasa kwa nini msiende kuchukua kherson kama wamekimbia maana si ipo tupu au mnasubiri nini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Back
Top Bottom