Vipi Ukraine wamechukua miji mingapi tayari, nasikia wamechukua Crimea yote....wanajiandaa kuingia Russia mainland???Kuna mwamba huko juu ukimuuliza atakwambia ni decoy.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi Ukraine wamechukua miji mingapi tayari, nasikia wamechukua Crimea yote....wanajiandaa kuingia Russia mainland???Kuna mwamba huko juu ukimuuliza atakwambia ni decoy.
Unajua sijaelewa mtanzania kushabikia vita ya urusi na ukraine. Sipati faida yoyote kumtetea mrusi ila kwenye hli anayo haki kuishambulia UKraine. Tuache ushabiki- tuangalie facts and mambo mengine muhimu kwa mustakabali wa nchi.
Hawajachukua Crimea bado Sana.Vipi Ukraine wamechukua miji mingapi tayari, nasikia wamechukua Crimea yote....wanajiandaa kuingia Russia mainland???
Umechomwa sindano ya ndui mkono wa kulia na marekani, alafu unakunya mtandaoni, USA ni Baba yako na Ndio anakupa jeuri ya kutumia android, window au iOS kuandika upumbavu wakoMnacho sahau ni kile kilicho tokea huko VietNam hamna habari kwamba Hyperpower wenu alipoteza military flying machines(fighter jets, bombers, choppers) zaidi ya 20,000 (elfu ishirini),je,hilo na jambo la kawaida kulikumba Taifa linalo jitangaza kila siku kwamba ni Mega Super Power linakuja kushindwa na kudhalilishwa na kijtaifa ambacho GDP yake hata mji ndogo wa huko Merikani - tafuteni video clip za 1975 kutoka Utube zinazo onyesha jeshi majeshi ya US yalivyo kuwa yanawakimbia wa VietCong,je, nini kilitokea huko Afghanistan mwaka juzi ya VietNam yalijirudia tena - mbona hayo hamuyasemi masaa yote Putin this Putin that - mara ooh, Russia si lolote si chochote kashindwa na Zelensky - je,na sisi tusemeje kuhusu u-superpower wa US baada ya kuvurumishwa mkuku kutoka VietNam na Afghanistan na ushahidi hupo lakini nyinyi hilo hamulioni kazi kubeza beza Putin na jeshi lake, hivi mmewahi kujiuliza swali la msingi kwamba kama Urusi hisingekuwepo Dunia ingekuwa hali gani? Ni wazi wote tungekuwa watu wa kupelekeshwa fang fang na Merikani, wangefanya wapendalo mpaka kufikia hatua ya kutufanya watumwa mambo leo,mara ngapi wanajiingiza kwenye internal affairs za mataifa mengine bila ya kupiga hodi,hawaendi mbali zaidi na njama zao kwa kuhofia Urusi na Uchina.
Nimeshasema mara nyingi na ninarudia kusema kuwa
Dikiteta fashisti nduli Putin na wadhulumaji wenzake hawaondoki na chochote Ukraine.., muda utaamua
Haya basi tufanye Russia wameshinda[emoji41][emoji41]Lini Putin au jeshi lake liliwahi kutamka in public kwamba litaichukua Kiev ndani ya siku tatu - lini??
Mambo mengi yanayo semwa humu pamoja na media za magharibi ni adithi za kubuni tu - hawataki kusema ukweli kwamba katika operation inayo endelea lengo kuu la Putin lilikuwa and still is:kuwakomboa WA Ukraine wenye asili ya Urusi huko magharibi mwa Ukraine,kuwanyanganya silaha ma neo-NAZI (Azov) yote hayo Putin amefanikiwa kwa asili mia kubwa - kilicho baki ni kupitisha referendum kwa wale wanaopendelea kubaki chini ya utawala wa Zelensky au kujiunga na mother Russia, chaguo ni lao - majority walisha choka kwa kuwa chini ya Utawala wa Kiev ambao umekwisha angamiza zaidi ya raia hao 14,000, cha ajabu hakuna chombo cha habari cha magharibi hata kimoja kimewahi kulizungumzia hilo, wako kimya kabisa - kazi kumsema sema vibaya Putin na kumzulia tuhuma ambazo hazina kichwa wala miguu.
Waseme wapendalo lakini ukweli utaendelea kubaki pale pale, namely: Putin atawashinda ma mafia hawa na wafadhili wao wakuu kuabika mchana kweupe, the World banks on Putin noble efforts to contain western inept hegemony na huu ndio mwanzo makubwa yanakuja.
Urusi joka la kibisa tu [emoji848]
Mtoto wa swahiba wa Putin amelaluliwa na wasiojulikana
My take: Kwa ustadi huu wa wasiojulikana wa kuweza kumuondosha mtoto wa mtu muhimu kwa Putin ni ishara kuwa hata putin mwenyewe hayuko salama
Russia accuses Ukraine over car bomb assassination
AFP - Monday
Russia on Monday accused Ukraine over the assassination of the daughter of a leading hardliner, as Kyiv said nearly 9,000 of its soldiers had been killed since Moscow launched its invasion.
The latest figures on Ukrainian military deaths were the first since April[emoji2398] Dimitar DILKOFF
The FSB security services pointed the finger at Ukraine for Saturday's shock car bombing in Moscow's outskirts that killed Daria Dugina, the 29-year-old daughter of Russian ideologue Alexander Dugin, an outspoken advocate for the invasion of Ukraine.
Ahead of its independence day Wednesday, Ukraine has put on display destroyed Russian tanks in the centre of Kyiv[emoji2398] Dimitar DILKOFF
"The crime was prepared and committed by Ukrainian special services," the FSB said in a statement carried by Russian news agencies, adding that a bomb had been attached to the car driven by Dugina.
The brazen killing -- and Moscow's rapid accusation -- marks a potentially destabilizing turn in the six-month-old conflict.
Russian President Vladimir Putin denounced the killing of the journalist and political commentator as a "vile crime" in a message of condolence to her family.
Russian forces are now focussed on gaining ground in the east of the country[emoji2398] Simon MALFATTO
The FSB said the person responsible was a Ukrainian woman born in 1979 who had rented an apartment in the same building where Dugina lived.
Some Russian media reports have suggested that Dugina borrowed her father's car at the last minute[emoji2398] Handout
After the car bombing, she had fled to EU member Estonia, it added.
Dugin, 60, is an outspoken Russian ultranationalist intellectual who enthusiastically backs Russia's invasion of Ukraine, as did his daughter. Russian media reports suggest Dugina had borrowed her father's car at the last minute.
Over the weekend, Kyiv denied any link to the bombing.
- Ukrainian casualties -
Authorities on Monday meanwhile revealed the extent of the casualties among Ukrainian troops.
General Valeriy Zaluzhny, Ukraine's commander-in-chief, said the country's children needed particular attention "because their fathers have gone to the front and are maybe among the nearly 9,000 heroes who have been killed".
6 months on, Ukraine's army keeps up morale despite Russia's invasion[emoji2398] Carlos REYES
Zaluzhny's comments on the Ukrainian death toll, reported by Interfax-Ukraine news agency, were the first indication of Kyiv's military losses since April.
6 months on, Ukraine's army keeps up morale despite Russia's invasion
On Wednesday, Ukraine will mark its independence day -- and six months since Russian troops invaded.
After Ukrainian resistance thwarted an early Russian push on Kyiv, Moscow's forces have focused on gaining ground in the country's east.
The European Union foreign policy chief Josep Borrell told reporters in Spain that the bloc was considering military training for Ukrainian troops.
The shockwaves of the war are being felt around the world with soaring energy prices and food shortages.
- Buying time? -
A Ukraine presidential adviser said Russia is trying to coax Ukraine into fresh talks in order to buy time to regroup for a fresh offensive.
For weeks, the Kremlin has been "trying to convince Ukraine to enter into negotiations", Mykhaylo Podolyak told AFP.
He suggested this was a ploy to "freeze the conflict while preserving the status quo in the occupied Ukrainian territories."
Podolyak said Kyiv believes Moscow does not really want serious peace talks but "an operation pause for its army" ahead of a new offensive.
- Tense Independence Day -
In Spain, Borrell told reporters that EU defence ministers would next week discuss launching a major training operation for Ukrainian forces in nearby countries.
"It seems reasonable that a war that is lasting and looks set to last requires an effort not only in terms of supplies of material," Borrell said.
All EU member states would have to agree to step up
the training that several are already providing Ukraine under bilateral agreements.
EU defence ministers have a two-day meeting in Prague from next Monday.
With much of Europe preparing for fuel shortages as Moscow cuts back its deliveries to the West in response to sanctions, Bulgaria said it was seeking talks with Russia gas giant Gazprom.
The country is almost totally dependent on Russia for natural gas supplies.
"We obviously have to turn to them," said Energy Minister Rosen Hristov.
Ukraine President Volodymyr Zelensky warned over the weekend that Russia might mark Ukraine's Independence Day by launching a trial of Ukrainian soldiers captured during the siege of Mariupol.
"This will be the line beyond which no negotiations are possible," he warned Sunday.
Soldiers from Ukraine's Azov regiment captured by Russian forces after the battle for Mariupol said Monday they had been beaten in captivity.
The soldiers, released as part of a prisoner exchange, told reporters they saw soldiers who were beaten until their bones were broken.
One ex-prisoner said he had observed cases of "serious torture".
bur/cdw/jh/mlm
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa.
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS.
Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani.
Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu.
Ulikuwa unazungumzia Kherson ya wapi?Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa.
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS.
Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani.
Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu.
Huenda siyo mkakati bali ni kujiokoaHave you ever heard something like strategic retreat.!!?
Wengine walilipuliwa wakafa, wengine walitawanyika, wengine walirudi east....msafara ukapotea....Hawajachukua Crimea bado Sana.
Swali kwako ULe msafara wa kwenda Kiev ulifikia wapi ?