... Mungu wa Mbinguni ni wa ajabu sana; huviinua vilivyo vinyonge na kuvitweza vinavyojiona vina nguvu. Mungu na endelee kusimama na taifa la Ukraine; Amin.Nimeisoma aljazeera aisee Russian wanawashiwa moto wakufa mtu ,hakuna pa kutokea mda c mrefu wengine watajisalimisha
Nonsense huu ni mwezi wa 2 mnasema urusi wanaondoka kwenye huo mjiRussia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS
Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani
Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
View attachment 2324685
Ameeen... Mungu wa Mbinguni ni wa ajabu sana; huviinua vilivyo vinyonge na kuvitweza vinavyojiona vina nguvu. Mungu na endelee kusimama na taifa la Ukraine; Amin.
No one but us.we are Russian military.Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS
Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani
Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
View attachment 2324685
Kumbe wameondoka hawakuondoshwa.Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS
Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani
Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu
View attachment 2324685
Russia rasmi na utawala wa vibaraka wao waamua kuondoka mapema Kherson mara baada ya kukosa usambazaji wa Siraha baada ya vituo vya karibu vya kuhifadhi kulipuliwa.
Huku kikosi cha Anga ambacho kingeweza toa sapoti kipindi cha kuzuia uvamizi kuungua kwa moto wa Sigara ulioteketeza ndege zaidi ya 10 mithili zilipigwa na HIMARS.
Pia sasa Warusi wamechapisha uniform za kanzu za kijeshi zikiwa na barakashia kuwavuta majihadist kutoka pande zote duniani.
Warusi wa Tandika na wale wa Buza mshatengenezewa hadi kanzu kazi kwenu.