Wanajeshi wakuu kupandishwa kizimbani huko DRC

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
350
Reaction score
576
Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi.

Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu;
Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi majeruhi na vifaa vya jeshi la serikali.

Kesi itaendeshwa mbashara kwenye kituo cha televisheni ya serikali, RTNC.

Kawaida, hukumu yao ni adhabu ya kifo


 
Wanawaonea bure, wapige ndombolo waone kama hawawezi kukata viuno!
Mamno ya kupigana sio jadi ya wacongoman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…