MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
Viongozi wa ngazi za juu jeshini nchini DRC, waliokimbia Goma na Bukavu, wataanza kujitetea mahakamani kuanzia leo tarehe 13 March 2025 na mahakama kuu ya jeshi.
Wanakabiliwa na tuhuma za kuachia maeneo ya nchi(kutokua wazalendo), huko Goma na Bukavu;
Wanatuhumiwa kumuachia adui silaha,risasi majeruhi na vifaa vya jeshi la serikali.
Kesi itaendeshwa mbashara kwenye kituo cha televisheni ya serikali, RTNC.
Kawaida, hukumu yao ni adhabu ya kifo