Wanajeshi Wanne wa Nepal na komando wao wakamatwa Dar es salaam, Tanzania

MeinKempf

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
11,093
Reaction score
7,229
Wanajeshi hao wa jeshi la nchi ya NEPAL wakiwa wanaonyesha vyeti vyao vya uanajeshi wa jeshi hili.

Idara ya uhamiaji Jijini Dare s salaam imewakamata raia 12 wa kigeni waliokuja nchi kinyume na sheria wakiwemo wanajeshi wanne wa jeshi la NEPAL pamoja na nane kutoka nchini india walioletwa nchini kinyume na sheria kwa kisingizio cha maisha magumu nchini kwao.

Raia hao wamekamatwa katika nyumba ya kulala wageni ya ESCOT iliyoko kijitonyama jijini Dar es salaam katika operation maalum iliyoendeshwa na idara ya uhamiaji Jijini baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wananchi wa maeneo hayo juu ya uwepo wa watu hao ambao waliwatilia mashaka.

Afisa uhamiaji wa jiji la Dar es salaam GRACE HOKORORO akizungumza na mtandao huu kuhusu sakata hilo.

Wanajeshi hao wanne wa jeshi la NEPAL yumo pia komando mmoja wa jeshi hilo ambao nao wamedai kuletwa nchini kwa ajili ya kutafutiwa ajira ya maswala ya ulinzi katika nchi za Africa hivyo wakashukia Tanzania kama kituo kwa ajili ya kufanikisha malengo yao.

Akizungumza na mtandao huu muda mfupi uliopita afisa wa uhamiaji wa jiji la Dar es salaam GRACE HOKORORO amesema kuwa wahamiaji hao wamekuwa wakipita katika nchi ya Tanzania na kupelekea nchi nyingine kama Africa ya kusini kwa ajili ya kufanyishwa kazi zisizo halali

Picha mbili zikionyesha wanajeshi hao wakiwa katika nchi yao wakiwa wanalitumikia jeshi la nchi yao kabla ya kutimka na kuja nchini.

Aidha amesema kuwa watu hao wamekuwa wakiletwa na mawakala ambao wamekuwa wakiwatoa katika nchi zao kwa ahadi la kuwatafutia kazi katika nchi hizi jambo ambalo amesema kuwa linatafsiriwa kama biashara ya binadamu ambapo mawakala waliowaleta watu hao hadi sasa hawajapatikana.

Aidha Bi GRACE amewataka watanzania na watu wasamaria wema kuwafichia watu wanaowaficha watu kama hao kwani ni kinyume na sheria na baadae huleta madhara makubwa kama uhalifu na uuzwaji wa madawa ya kulevya.

Habari zaidi kukujia.
 
Attachments

  • DSC05244.JPG
    DSC05244.JPG
    33.9 KB · Views: 1,689
  • DSC05250.JPG
    DSC05250.JPG
    54.3 KB · Views: 1,589
  • DSC05246.JPG
    DSC05246.JPG
    41.6 KB · Views: 1,562
  • DSC05255.JPG
    DSC05255.JPG
    39 KB · Views: 1,479
  • Thanks
Reactions: Paw
kuna mmoja anafanyakazi sehemu fulani alipofika tu hapa nchini alinionesha picha yake akiwa ameshika Ak 47 ni mhindi ila amekaa nchi kama Yemen Qatar nk sasa sijui alikuwa muasi? if it will be a good point to start wahusika mni pm niwape muongozo I love my country thanx
r
 
we siyo mzalendo. uhamiaji hupajui? polisi hupajui? usalama wa taifa ofisi zao hujui zilipo?
 
hawa ndo wanaenda kua hit man wa kulipwa! wanaitwa just hired gun!
 
wahamiaji haram wamejaa mwananyamala na watu wanawachunia tu na kwa watanzania wanavyopenda rushwa watawasaidia hadi kupata vitabulisho vya uraia
 
Wengine wako Mtwara kwenye makampuni ya mafuta, wanafanya kazi bila vibali. Naanza na Ene Adrian yupo kampuni ya Weatherford. Hana working permit anafanya kazi kwa barua za mwaliko wa mkutano. Baada ya miezi mitatu anatoka na kwenda Kenya kisha hurudi jioni ya siku hiyo hiyo akiwa amegongewa tens muda wa kuja nchini kwa mkutano ambao in real sense haupo
 
Tanzania ni moja kati ya nchi chache duniani ambazo wanachi wake wanawafuga mamluki kutoka mataifa mengine!
 
huyo komando aapishwe apatiwe ajira jeshini/afundishe army tech huyo ni hadhina kubwa! lakini endapo atakuwa ni mwislamu mwenye siasa kali arudishwe hasaka sana!
 
Are you serious? Unauhakika hao jamaa wamekamatwa na hawakuwa na 'mission' yoyote? Maelezo ya hii habari bado hayajitoshelezi mkuu!
 
Wengine wako Mtwara kwenye makampuni ya mafuta, wanafanya kazi bila vibali. Naanza na Ene Adrian yupo kampuni ya Weatherford. Hana working permit anafanya kazi kwa barua za mwaliko wa mkutano. Baada ya miezi mitatu anatoka na kwenda Kenya kisha hurudi jioni ya siku hiyo hiyo akiwa amegongewa tens muda wa kuja nchini kwa mkutano ambao in real sense haupo

Baada ya week uje kutoa feed back pia .....msalimie Ene .....
 
Wanajeshi hao wa jeshi la nchi ya NEPAL wakiwa wanaonyesha vyeti vyao vya uanajeshi wa jeshi hili.

Idara ya uhamiaji Jijini Dare s salaam imewakamata raia 12 wa kigeni waliokuja nchi kinyume na sheria wakiwemo wanajeshi wanne wa jeshi la NEPAL pamoja na nane kutoka nchini india walioletwa nchini kinyume na sheria kwa kisingizio cha maisha magumu nchini kwao.

Raia hao wamekamatwa katika nyumba ya kulala wageni ya ESCOT iliyoko kijitonyama jijini Dar es salaam katika operation maalum iliyoendeshwa na idara ya uhamiaji Jijini baada ya kupokea taarifa kutoka kwa wananchi wa maeneo hayo juu ya uwepo wa watu hao ambao waliwatilia mashaka.

Afisa uhamiaji wa jiji la Dar es salaam GRACE HOKORORO akizungumza na mtandao huu kuhusu sakata hilo.

Wanajeshi hao wanne wa jeshi la NEPAL yumo pia komando mmoja wa jeshi hilo ambao nao wamedai kuletwa nchini kwa ajili ya kutafutiwa ajira ya maswala ya ulinzi katika nchi za Africa hivyo wakashukia Tanzania kama kituo kwa ajili ya kufanikisha malengo yao.

Akizungumza na mtandao huu muda mfupi uliopita afisa wa uhamiaji wa jiji la Dar es salaam GRACE HOKORORO amesema kuwa wahamiaji hao wamekuwa wakipita katika nchi ya Tanzania na kupelekea nchi nyingine kama Africa ya kusini kwa ajili ya kufanyishwa kazi zisizo halali

Picha mbili zikionyesha wanajeshi hao wakiwa katika nchi yao wakiwa wanalitumikia jeshi la nchi yao kabla ya kutimka na kuja nchini.

Aidha amesema kuwa watu hao wamekuwa wakiletwa na mawakala ambao wamekuwa wakiwatoa katika nchi zao kwa ahadi la kuwatafutia kazi katika nchi hizi jambo ambalo amesema kuwa linatafsiriwa kama biashara ya binadamu ambapo mawakala waliowaleta watu hao hadi sasa hawajapatikana.

Aidha Bi GRACE amewataka watanzania na watu wasamaria wema kuwafichia watu wanaowaficha watu kama hao kwani ni kinyume na sheria na baadae huleta madhara makubwa kama uhalifu na uuzwaji wa madawa ya kulevya.

Habari zaidi kukujia.

kuna mmoja anafanyakazi sehemu fulani alipofika tu hapa nchini alinionesha picha yake akiwa ameshika Ak 47 ni mhindi ila amekaa nchi kama Yemen Qatar nk sasa sijui alikuwa muasi? if it will be a good point to start wahusika mni pm niwape muongozo I love my country thanx
r

Kwa nini hukutoa taarifa na kwa nini useme sehemu Fulani unaficha nini ?
 
Wengine wako Mtwara kwenye makampuni ya mafuta, wanafanya kazi bila vibali. Naanza na Ene Adrian yupo kampuni ya Weatherford. Hana working permit anafanya kazi kwa barua za mwaliko wa mkutano. Baada ya miezi mitatu anatoka na kwenda Kenya kisha hurudi jioni ya siku hiyo hiyo akiwa amegongewa tens muda wa kuja nchini kwa mkutano ambao in real sense haupo

Mtwara wamejaa tele wahamiaji haramu. Mwingine raia wa Uingereza Mama anaitwa Samantha anaishi mitaa ya Mnarani anamiliki Lorge ipo mitaa ya Shangani karibu na Pride FM. Vibali vya kuishi nchini na vya kuendesha lorge ni magumashi matupu. Wahamiaji haramu wamejaa hapa Mtwara na wanasaidiwa na jamaa mmoja wa uhamiaji na sehemu ya kuchukulia mshiko anachukulia pale Posta Mkoa ndani ya gari. Hao wachina ndo usiseme kiwanda cha Cement kinachojengwa nje ya mji wa mtwara kumejaa wachina wengi wao ni magumashi... kama Hongkong yani.
 
Acha WIVU
 
we siyo mzalendo. uhamiaji hupajui? polisi hupajui? usalama wa taifa ofisi zao hujui zilipo?

Basi sitoi ushirikiano wowote kwani lazima si kunawatu wanakazi hizo na wanalipwa mshahara kwani mm ndiye niliye mleta? na je hatua ya kutoa maoni hapa mtandaoni si uzalendo au umekariri na je hujui hata humu hao polisi,uhamiaji na usalama wa taifa wapo think wide bhana unakatisha tamaa
 
Back
Top Bottom