Wanajeshi Wanne wa Nepal na komando wao wakamatwa Dar es salaam, Tanzania

Wanajeshi Wanne wa Nepal na komando wao wakamatwa Dar es salaam, Tanzania

operation.jpg
 
huyo komando aapishwe apatiwe ajira jeshini/afundishe army tech huyo ni hadhina kubwa! lakini endapo atakuwa ni mwislamu mwenye siasa kali arudishwe hasaka sana!

Huyo n mburula tu hana hata chembe ya ujuzi wa kufundisha makomandoo wetu labda afundishwe!
Nepal ni nchi duni zaidi labda aajiriwe kufundisha wapanda mlima Kilimanjaro!
 
ImageUploadedByJamiiForums1409993707.241991.jpg
Bila shaka hawa ndiyo waliowaleta hawa wa Nepal ili wawafanyie kazi yao ya kuwafyeka ndovu wetu!
 
Kwa nchi kama Tz unaweza kugeuziwa kibao kwa kutoa taarifa yoyote kumhusu mtu mwingine, labda tu mtoa taarifa awe mmoja wa watumishi wa idara mojawapo zinazohusika na ulinzi na usalama.

au watuhumiwa uliowaripoti wakageuzwa atm,pakupatia rushwa

Kariakoo na wanaijeria,wachina

Mwananyamala wamalawi,wakongo
 
Back
Top Bottom