huyo komando aapishwe apatiwe ajira jeshini/afundishe army tech huyo ni hadhina kubwa! lakini endapo atakuwa ni mwislamu mwenye siasa kali arudishwe hasaka sana!
Huyo n mburula tu hana hata chembe ya ujuzi wa kufundisha makomandoo wetu labda afundishwe!
Nepal ni nchi duni zaidi labda aajiriwe kufundisha wapanda mlima Kilimanjaro!
Kwa nchi kama Tz unaweza kugeuziwa kibao kwa kutoa taarifa yoyote kumhusu mtu mwingine, labda tu mtoa taarifa awe mmoja wa watumishi wa idara mojawapo zinazohusika na ulinzi na usalama.