My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
Kwa hiyo ni wazungu pia waliyoifanya Tanzania iwe maskini?Wazungu sijui wanatafuta nini somalia?
Wamekuwa kwa muda mrefu wakihakikisha somalia haitulii
Ni wazungu pia waliowafanya wa Africa kuwa wachawi?
Mbona ubongo wako uko shallow sana?