Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

Wanajeshi wawili wa Uganda wahukumiwa kifo Somalia

Mataifa ya kikristo yana nguvu gani⁉️
Zaidi ya kudhulumu watu?
Uadilifu ni ziro kila alipo mkiristo,
Akiwa na cheo atajaza dini yake na kabila yake, mashuleni wanapasishana bila haki matokeo yake mifisadi imejaa serikalini kwa kukosa dini sahihi
Acha ujinga wa dini, ubaguzi utakumaliza na hutafika popote
 
Nyie Waislamu huwa wapumbavu sana, Mungu aliwajua mapema akawanyima nguvu, vinginevyo mngechinja watu wote Duniani wasio Waislamu,mtabakia kubweka tu, Israel hiyo hapo mmeifanya nini?

Hujui unachokiongea mkuu, uisilamu ni amani, uisilamu ni upendo na hakuna kuchukiana,,,so nawapenda wote
 
Kwani uongo hao co makafiri!!!
Kafiri ni wewe unayemuona mwenzako kafiri, una wema gani mbele za Mungu hata kuita wenzako kafiri? Kwa nini mwenyezi Mungu aruhusu hao makafiri wazaliwe au wanawake wao wabebe mimba?
 
Kafiri ni wewe unayemuona mwenzako kafiri, una wema gani mbele za Mungu hata kuita wenzako kafiri? Kwa nini mwenyezi Mungu aruhusu hao makafiri wazaliwe au wanawake wao wabebe mimba?

Kafiri co tusi bibie

Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
 
Kafiri co tusi bibie

Maana ya 'kafiri' ni kila asiekuwa Muislamu. Kama kuna mtu anakereka na kukwazika kwa kuitwa kafiri, njia ya kuepukana na hilo awe Muislamu
Nimeamini kweli uwezo wako ni mdogo neno kafiri kwa lugha ya kiswahili ni mtu yoyote asiye na dini, na sio asiyekuwa Muslim.
Je na nyie waislam tukiwaita magaidi
 
Nimeamini kweli uwezo wako ni mdogo neno kafiri kwa lugha ya kiswahili ni mtu yoyote asiye na dini, na sio asiyekuwa Muslim.
Je na nyie waislam tukiwaita magaidi

Maana ya kafiri ni mtu asie muisilamu, upo hapo!!! Sema hujui tu na co kucpotosha watu humu ewe bibie.
 
Hao makafiri ipo cku watakipata wakitakacho
Hio alama yako nyeusi kwenye paji lako la uso isikudanganye ukajiona kwamba eti wewe ndio unamjua sana mwenyezi Mungu kuliko wengine.
"Eti makafiri!"
 
Haisaidii chochote,,,uhai wa mtu haurudi. Wameshauwa innocent people nchi za kiisilamu na wamewaacha wakiendelea kupata tabu, kuuwana wao kwa wao kisa masilahi yao. Huwa nachukia sana mkiwa munawatetea hawa wauwaji.
Sasa mujahidin wameshika nchi huko Afghanistan lakin unaona hali ilivyo

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Mataifa ya kikristo yana nguvu gani[emoji3480]
Zaidi ya kudhulumu watu?
Uadilifu ni ziro kila alipo mkiristo,
Akiwa na cheo atajaza dini yake na kabila yake, mashuleni wanapasishana bila haki matokeo yake mifisadi imejaa serikalini kwa kukosa dini sahihi
Nenda kafanye tafiti kwenye kampuni za azam ulete mrejesho

Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
 
Miss eee,,,wauliwe haraka, tena kwa kitanzi.
hapo hakuna atakayefungwa ,Wala kuuliwa!!,hao ni wanajeshi walikuwa kwenye mapigano ,raia waliuawa kwa makosa ya ki battlë ,kwenye battle huwez kumuamini raia kirahs kumbuka wanamgambo Kuna wakati wanavaa kiraia na wakati mwngine wanashrikiana na raia wasio waaminifu kuwauza wajeshi!! Hapo Kuna harufu ya ubaguz na chuki Kati ya wanajeshi wazawa wa kisomalia na majeshi ya kigeni !!
 
Back
Top Bottom