Wanajeshi wetu wanajisikiaje??

Hilo ni baba la baba limekuja kwako na hapo unapoishi alikupa wewe🤣🤣🤣
 
Wanatulia tu waendelee kula bia na nyapu za uswahilini , jeshi la marekani lina nguvu kubwa kuliko kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Trump alivyoenda uingereza kikosi Cha ulinzi Cha marekani kilichanganyikiwa baada ya paka was malkia kwenda kujipumzisha uvunguni mwa gari la Trump wakati limepaki ikulu ya uingereza. Walishindwa kumtoa kwani walielezwa paka Yule no popular uingereza .Aliondoka alivyotaka mwenyewe
 
Kwani mazishi ya Queen Elizabeth hukuyaona ndugu Raia mpya ? Wakati viongozi wa Asia na Africa wakipakiwa kwenye Marco Polo, Joe Biden alikuwa kwenye The Beast na security detail ya kipekee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nikionaga ile picha, Ruto anachekaaa hana habariii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Marekani isingekua rahisi kuacha VP wao alindwe na wanajeshi wenye mbinu za kikoloni na silaha zenye hadhi ya manati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakubwa hawa hatuwawezi, kama Azori alipotea hapo Kibiti na hajapatikana hadi leo na wako hapo nani awaamini...hao washakuwa kama sisi Simba asiye na meno, hakuna anayewaogopa mkuu endela na maisha.
 
Hiyo ni kawaida, na mifumo yote ya Serikali inajuwa. Siyo mara ya kwanza hilo kutokea kwani hata George Bush Jr, na Barack Obama walipokuja security protocol ilibadilika. Mind you USA ndiyo dunia
Kwahiyo ni sawa?

""wanajisikia kuona nchi yao inalinda na wengine ina maana wao hawaaminiki??""

#YNWA
 
Khaaaaaah mbna hatareeee, jw angekua paka wa magogoni angefurushwaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nazan ndan ya Tiafa letu sio sahihi saana wao wangeendelea kumlnda wao na sisi tungeendelea na wetu hvyo


Labda tusubr Putin akija itakuwaje
 
Sio wanajiona ndo ukweli wenyewe, tena hawa wakwetu nikiwasikia napata kichefu chefu, mwaka flani hapo awamu ya 5, walijida ETI watafnya usafi nchi nzima sikuona hata mmoja au walikuja kwako?
 
Ina maana Usa akienda hata nchi za Ulaya napo anafanya kama alivyofanya huku bongo??
Hakuna kitu kama hicho bali ni ulinzi wa kawaida tu ukisimamiwa na pande zote

Ila kwenye kifo wote walijua ndio mwisho wa mambo hakuna cha ulinzi wala ulozi alipokufa Queen wengi walipandishwa mabasi tena local

Rais wa [emoji631] alikutana na foleni kubwa central London ila ilibidi wawe wapole tu na kufuata foleni kama weengine hakuna kufukuza watu au kusimamisha magari ili Rais apite

London hii wakati wa mazishi ya Quuen
 
ubalozi wa us ulipolipuliwa na mzee Osama polisi wa tz walikamata mamia ya raia na kuwajaza kituo cha Ostabey.

FBI walipofika awakukamata raia,walichofanya waliokota vipande vya vyuma eneo la tukio na kuchakata taarifa za ki intelijensia,kupitia ivyo vitu wakawabaini wahusika kuanzia uraia wao na kilakitu chao mpaka walipofikia.

Wanyama pori wanaibwa na tiss awajui wataweza kumlinda vp Kamala,ila basi acha nikae kimya.
 
Ghaddaf naye alianza kuiga ushenzi huo anapotembelea nchi za waafrika wenzake anawapa kero na yale mahema yake ya kibedui. Eti naye alijionesha ana ulinzi imara kuliko wa nchi mwenyeji wake. Cha ajabu aliuwawa kama paka mwizi pasipo na huo ulinzi, tena kifo cha kutia huruma kana kwamba hakuwahi kumiliki majeshi na vikosi imara nchini mwake. Hawa wamerekani wana dharau na kiburi kwa vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi zetu, hawajakutana na rais wa nchi asiyependa dharau kwa majeshi yake ya ulinzi, hao wanajeshi wao watawekwa kando watulie nchi mwenyeji isimamie shoo nzima ya ulinzi na usalama. Rais wao akiwa anatua na yale madege yao air force wanakuwa na wasiwasi hata na vitu visivyo hai wanavikazia macho kana kwamba ni hatari. Wanapenda kufunuafunua lile zulia jekundu mpaka wanakera. Wakiona kikaratasi kidogo kinapeperushwa na upepo wanakitolea macho na kukikaribia kujua ni kitu gani. Kama tumewakaribisha nyumbani kwetu watuamini mwanzo hadi mwisho hata sisi tunajua ulinzi na usalama kama wao, tuheshimiane
 
Ikulu ya uingereza.....hahaaaa wanyalu na stori za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…