Wanajeshi wetu wanajisikiaje??

Wanajeshi wetu wanajisikiaje??

Rais Mahinda Rajapaksa aliwahi kuja tanzania na msafara wake mdogo, hatukuwahi akija na majeshi yake kumlinda. Alipoondoka Bush naye akaingia akitanguliwa na majeshi yake ya majini. Tukaona ulinzi mwingi katika ziara yake. Na sisi tuwe tunaenda kwao na ujumbe mkubwa mpaka wajasiriamali na wasanii waende kwao kama wao wanavyokuja na ujumbe mkubwa mpaka wengine hatujui walikuja kufanya nini kama si kutalii bure bila kutoa fedha za utalii.
 
Salaam ndugu zangu kuna jambo limenifikirisha kidogo baada ya juzi kuja huyo mgeni kutoka Usa sasa baada ya kutua tu kila kitu cha ulinzi kilikuwa chini ya wageni kuanzia Airport mpka sehemu alipokuwa huyo mgeni na mpaka anaondoka wanajeshi wa kigeni ndio walikuwa wanaosimamia show nzima ya ulinzi ya viongozi wote wawili,
Sasa najiuliza hivi wanajeshi wetu wanajisikia kuona nchi yao inalinda na wengine ina maana wao hawaaminiki??
Imekuuma au
 
Hawaaminiki kwa sababu wamejiachia sana kazi yao kufakamia mavyakula huko makambini matokeo yake wanakuwa na vitambi kama pipa,wanachoweza wao ni kuonea raia mitaani na barabarani wakijifanya wababe kumbe hawana lolote.
 
Military Intelligence

Wapo ndani ya mfumo tena NYETI

Huwezi kuona kwa macho ya KIMATUMBI

Kuna kitu kinaitwa ..Well blended...
 
Khaaaaaah mbna hatareeee, jw angekua paka wa magogoni angefurushwaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbn kila Post unacheka tuuu......, Sometimes kuwa kimya ni busara zaidi kuliko kufanya vitu vya kipuuzi kama hivi ambavyo vinashusha hadhi yako...

Kwani ukicheka nyuma ya Keyboard ukapita inakupa tabu gani? Au unavyotutumia emoji za kucheka kila sasa unataka tukufikirie vip?......

Asante.
 
wamegeuka wamekua kama wanawake. ukiwaona wanavyotukoromea mitaani na kujifanya wao ni untouchable😂 😂 😂
 
Levo yao ya ulinzi iko mbali kulingana na ukubwa wao. Haiwezi tokea wakakubali kupewa ulinzi hafifu. Hilo haliwezi kuwaumiza wanajeshi wetu mana wanaelewa
 
Jibu ni rahisi tu, NJAA

Kuna msemo njaa haina baunsa au njaa mwana malegeza
 
Eti Ndio Dunia
Hizi Akili za Kinyonge Mziache
Unabisha tu kwa sababu unabisha, ila USA baada ya WWII mwaka 1945 ndiye self appointed policeman of the world, period. Kukubali ukweli siyo unyonge
 
Kwahiyo ni sawa?

""wanajisikia kuona nchi yao inalinda na wengine ina maana wao hawaaminiki??""

#YNWA
Nenda kwanza kaomboleze kipigo cha 4-1 kutoka kwa Man City. Liverpool hakuna beki na hakuna mid field
 
Sio kulinda wao wenyewe bali mpaka mpambe (ADC) na bodyguard wa Rais hawakuonekana nyuma ya Rais. Nachowapenda tu hao jamaa yaani pamoja na ulinzi mkubwa wote ila kwa wageni waalikwa wanakuwa wanajichanganya bila kufuatwafuatwa na walinzi tofauti na ulinzi wetu, mtu anakagua gwaride bado na watu wapo nyuma
 
Salaam ndugu zangu kuna jambo limenifikirisha kidogo baada ya juzi kuja huyo mgeni kutoka Usa sasa baada ya kutua tu kila kitu cha ulinzi kilikuwa chini ya wageni kuanzia Airport mpka sehemu alipokuwa huyo mgeni na mpaka anaondoka wanajeshi wa kigeni ndio walikuwa wanaosimamia show nzima ya ulinzi ya viongozi wote wawili,
Sasa najiuliza hivi wanajeshi wetu wanajisikia kuona nchi yao inalinda na wengine ina maana wao hawaaminiki??
Ninyi mna wanajeshi au migambo ?
 
Alafu sisi mother anaenda kwao mpaka kina mange wanamshika ushungi apige nao picha.
wahuni na abiria wengine wanakatiza hapo pembeni🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Hiyo ni kawaida, na mifumo yote ya Serikali inajuwa. Siyo mara ya kwanza hilo kutokea kwani hata George Bush Jr, na Barack Obama walipokuja security protocol ilibadilika. Mind you USA ndiyo dunia
Ndio maana mnafeli mitihani ,umeulizwa wanajisikiaje ww unajibu tofauti kabisa.
 
Back
Top Bottom