Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Hii tabia naona imeota mizizi huku JF
Yani member karibu wote wa jf wanajifanya wanatumia simu za bei mbaya Mara iPhone,sijui Samsung, Mara Motorola sijui Huawei na nyinginezo
Watu wa JF wanajifanya kutuponda watumia TECNO,hawajui kama tecno ni chama kubwa na simu pendwa kusini mwa jangwa la sahara
Humu wengi naamini wanatumia tecno ila kwa sababu ya ID fake hatujuana na watu wanatamba kutumia simu za bei mbaya
Hii ni sawa na ile ya member wengi wa Jf kumiliki magari wakati wengine hata mkweche wa baiskeli hawamiliki
Acheni kufananisha TECNO na misimu ya ajabu ajabu