WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

WanaJF acheni kutuponda tunaotumia TECNO

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Hii tabia naona imeota mizizi huku JF

Yani member karibu wote wa jf wanajifanya wanatumia simu za bei mbaya Mara iPhone,sijui Samsung, Mara Motorola sijui Huawei na nyinginezo

Watu wa JF wanajifanya kutuponda watumia TECNO,hawajui kama tecno ni chama kubwa na simu pendwa kusini mwa jangwa la sahara

Humu wengi naamini wanatumia tecno ila kwa sababu ya ID fake hatujuana na watu wanatamba kutumia simu za bei mbaya

Hii ni sawa na ile ya member wengi wa Jf kumiliki magari wakati wengine hata mkweche wa baiskeli hawamiliki

Acheni kufananisha TECNO na misimu ya ajabu ajabu
 
Mimi natumia cm aina ya lava hii cm Tanzania hamna mpka nje ya nchi ndo unaipt cjui mwenzangu unatmia cm aina gn
 
Mimi cm mtaani kote amna ukimuona mtu anayo jua kuna vitu viwili katoka nje za nchi au kuna mtu alimletea au kuagz
 
Sasa mkuu maneno ya watu yanakusosesha jamani usikute mtu anaponda na huku anatype kwa tekno hiyo hiyo hii ndio jf usiumizwe kichwa na maneno ya nyuma ya keyboard
Hahahahaha ukwel unauma [emoji12] noma san
 
Kumbuka msemo wa nyama ni ileile bucha tofauti kama simu ina operating system inayotambulika kimataifa kuna shida gani? Tecno bado ni simu nzuri sema tu uchaguzi wa mhusika ukilinganganisha na bei ya soko hata mtu wa kawaida anaweza kuipata so wenye roho za ubinafsi na kutaka waonekane wao walichonacho ni bora kuliko cha wenzao (degree of speciality).
 
Back
Top Bottom