Kwahiyo all weather sikupaswa kulitumia hapo? Basi shukrani kwa darasa la bure.Nisamehe, nimeliweka hapo kwa sababu ya kuelekezana, siku nyingine unaweza kulitumia kwingine pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me too honey
Sio wangu jamani.Aah nilikuwa nina compliment kwakuwa sio wako basi tena.
Kwahiyo all weather sikupaswa kulitumia hapo? Basi shukrani kwa darasa la bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ana chuki binfsishi huyoAnachosema Asprin ni kweli lakini?
Ulipiga mikong'oto maiti? Unaloga jogoo ukikosa wa kuloga?[emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh, basi sawa. Asante.All weather kwa Mshana ni sahihi pia, kwamba hachuji na yupo kwa muda mrefu.
Ila unakuwa umempunja kwa sababu haitoi ufafanuzi kwamba jamaa yuko note, MMU, Chitchat, Intelligence, Siasa, Imani, JLW, Biashara etc na note anapatendea haki.
Nimependa Avatar yako mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujambo mdogo wangu?
Salama kabisa, sijui weye?
abiria chunga mzigo wako we ulifikiri nakupeleka kula majani ndio kuchunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimechekaaa.
Oooh, basi sawa. Asante.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Ebu ngoja kwanza niendelee kuwa mpenzi mtazamaji...tehteehh [emoji13][emoji13]
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]Kichwa cha kichawi
[emoji23][emoji23][emoji23]Usije ukasema sijakushauri. Kaa mbali na huyo jamaa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji120][emoji106][emoji123][emoji123]Uniwache babu we.
[emoji23][emoji120][emoji120][emoji123]Mshana ni all weather aisee.