WanaJF Bora wa siku zote

All weather kwa Mshana ni sahihi pia, kwamba hachuji na yupo kwa muda mrefu.

Ila unakuwa umempunja kwa sababu haitoi ufafanuzi kwamba jamaa yuko note, MMU, Chitchat, Intelligence, Siasa, Imani, JLW, Biashara etc na note anapatendea haki.
[emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Kwenye jukwaa letu pendwa la wazee wa kuweka mzigo, hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajua wapi sema anajifanya tu anajua lakini yupo empty Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…