Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Ngoja tuulize
Basi sawaAmesema Wana jf tukutane
These brats never learn.
Hapana, tuishie kukutana hapahapa tu.Malcom naomba tukutane
Uje pia.Hayo ndo mambo....ngoja waje
AiseeNdiondio mkuu....
Hizi ndio nyuzi za maana, sio kila ukilog in unakutana na Yukreni na Urusi, mara Chadema na Sisiem tuuuuuu
Hahahah mambo ya bombei😅Anazingua asee.. Tatizo Depal anadeka Sana Kaka,yaani Hadi tukimbizane na kupigiana masongi km tupo India bwana[emoji21]
Kwanini?Hapana, tuishie kukutana hapahapa tu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji1732][emoji125]Hahahah mambo ya bombei[emoji28]
Huko nje kuna kitu gani ambacho hakiwezi kumalizikia hapa ?Kwanini?
Kuonana na kupeana mkono.Huko nje kuna kitu gani ambacho hakiwezi kumalizikia hapa ?