WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Mmmmmh kuna pipo hiyo ni ngumu kumeza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.

Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
Single maza na single faza wote wa JF tuonane Mwanza nyumbani kwangu....siku ya Pasaka[emoji41]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom