Nimeuliza tuAisee! Mbona unataka kuyafanya kuwa makubwa[emoji3]
Hapana..πNimeuliza tu
OkHapana..[emoji3]
π
Ndo nani....na passport za kibongo zinavyotesa kupataKaribu sana hapa kwa Malkia mrembo wa JamiiForums ili tuonane.
Sijakuelewa hapo uliposema "Ndo nani...."Ndo nani....na passport za kibongo zinavyotesa kupata
Hapana,nimeandika "Karibu sana hapa kwa Malkia mrembo wa jf ili tuonane"Nilitaka nimjue malkia mrembo
Ndio ukaamua kuniita na Kaka!Umesema karibu kwa mrembo kaka angu
Timu Zari na timu MondiHapatatosha kwa makasiriko tuliyonayo
Hahahaaaa....ππππAnko anahalalisha dhambi mubashara
Sis hata mie natamani sana kukuona ila naogopaMdogo wangu fanya tuonane basi
Biblia inasema hivi: βMacho yake mwenye hekima yamo kichwani mwake, lakini mpumbavu huenda gizani.βPumbavu kabisa