WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.
Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.
Anyway.......
Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.
Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..[emoji39]
Umenikumbusha mawasiliano kabla haijawa stendi. Umenikumbusha hospitali ya kansa ile.. nimemkumbuka WEC na Mshana Jr
Ile ilikuwa Jf banaaa
 
Back
Top Bottom