WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Baada ya kukutana japo mlete mrejesho jamani.
 
Hata tukitambuana kwan historia zako za jf zinatudhuru nn
Itaondoa core element ya jf , usiri!
Jf inamea kwa sababu identity za wadau sio real, ndo mana wakati mwingine unaweza kufokeana na viongozi na ukabaki salama, imagine kwenye hiyo get together party wahudhurie makachero, halafu wajianike wanaokosoa serikali , kitatokea nini?
Bora ibaki hivi hivi kimya kimya
 
Hapana,was was wako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…