WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Mleta mada weka age group basi, usije kuonana na sie umri ushaenda sana tukaonekana na watoto wa fom foo!!
20-25,25-35,30-45,35-50,40-60,45-70,50-80 na kuendelea...kuingiliana kupo katika age coz kuna kijana ana mawazo ya kiutuuzima
 
Muonane halafu mjue ukweli,wakati humu jf kila mtu ana gari[emoji28] ana hela[emoji14] kasoma [emoji2] ana maisha mazuri[emoji16].
Siku hiyo watakosa hadi nauli.ha ha haa
 
Hili nalo neno unawezakutana na jibibi ambalo halitaki limegoma kutoka kwenye udada!.. unajishangaa stori mnaanza kupiga za kilimo Kwanza..😂
Ha ha haa
 
Back
Top Bottom