Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kwa ubaya bali kwa mema tu...tupange ratiba ya kuonana hata Mara mbili kwa mwaka....tunaonana kwa ajili ya kufurahi,kubadilishana mawazo,kubadilisha mazingira,kupeana michongo na vingine vingi visivyo na madhara.
Tusibaguane wala kuweka matabaka ...Mali ni zetu lakini uhai si Mali yetu bas muda huu tupo hai tutengeneze aman na upendo sisi kwa sisi.Tanzania ni yetu bas tusitengane wandugu.NAWAPENDA SANA!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo jumbe ni nani au ana issue gani?
Nimefanyaje tena...
Woiii mwambie aje,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kada matata wa CCM
Itakuwa vyema sana aiseeSawa bosi nitakutafuta tule bia
Rafiki yake ni mimiWoiii mwambie aje,
aje tena na rafiki zake,
Ahsante mpendwaKaribu...
Uje naye sasaRafiki yake ni mimi
Njoo wewe mkuu wanguUje naye sasa
Kumbe mleta mada amesema mkutane ofisini kwenu hapo lumumba??Njoo wewe mkuu wangu
Hapa Lumumba[emoji23]
Amesema Wana jf tukutaneKumbe mleta mada amesema mkutane ofisini kwenu hapo lumumba??