WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Yeah umetulia sana tofauti na miaka kadhaa nyuma...

Karibu... Ila una nyumba nyingi wewe mtoto, Halotel, Tigo na Voda...
Niendeleze utulivu? Au nichachuke kidogo…

Nipo voda Smatii🤣 karibu..
 
Niendeleze utulivu? Au nichachuke kidogo…

Nipo voda Smatii🤣 karibu..
Ishi utakavyo wewe, maisha yenyewe mafupi... (Utulivu unakupendeza zaidi, ila hata ukorofi pia unakufaa)

Ndiyo maana nasema siku hizi umetulia na Voda tu...
 
Ishi utakavyo wewe, maisha yenyewe mafupi... (Utulivu unakupendeza zaidi, ila hata ukorofi pia unakufaa)

Ndiyo maana nasema siku hizi umetulia na Voda tu...
Hahaaa ngoja tuone…

Ndiwoo bhana… karibia 😎
 
Back
Top Bottom