Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kuumwa sweetheart, kusafiri kunakutesa hivi kumbe...
Thank you sweetheart…Pole kwa kuumwa sweetheart, kusafiri kunakutesa hivi kumbe...
Hospitali inakuhusu na hii hali ya hewa ni vichwa tu watu kuumwa...Thank you sweetheart…
Yan sijui imekuaje sijawahi kuumwa hivi.. ila will be fine soon
Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.
Yeah umetulia sana tofauti na miaka kadhaa nyuma...Pasaka njema na kwako pia cha upole.. upole wako bado unaendelea kuonekana, safi sana.
Nimetulia eeh!! Mekuwa mtoto mzuri….. nastahili soda 😝😝
Karibu...Na kwako pia Kamanda 🤣 🤣
Khaaaa🤣😂😂😂😂Tulionana juz mbona wenzio...sema ilikuwa very boring walijaza sana wali kakabeji kiduchuuu🙄