Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Pole na kazi sweetheart…Tiresome, but all good...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na kazi sweetheart…Tiresome, but all good...
Kesho ukitoka utapitia nyumbani…
Kuna mambo nataka tuongee kama yale ya jana😁
Hahahaha.. Koane kwanza kalivyo kazuri...Kesho ukitoka utapitia nyumbani…
Kuna mambo nataka tuongee kama yale ya jana😁
You are so sweet…
Hhahh thank you sweetheart…Hahahaha.. Koane kwanza kalivyo kazuri...
Sawa nitakuja kukufanyia kazi yako andaa mzigo...
Muda haujawahi kutosha kama leo mpaka umenuniwa...Hhahh thank you sweetheart…
Uje bas on time si unajua muda unakua mchache
Siwezi sahau sweetheart...You are so sweet…
Thank you sweetheart
Usisahau lakini…
Maana nilikua na vingi vya kusema… hahahah ila wew ulizidiMuda haujawahi kutosha kama leo mpaka umenuniwa...
Thank you my man😍Siwezi sahau sweetheart...
Kesho hakuna kuongea sana, kazi kazi...Maana nilikua na vingi vya kusema… hahahah ila wew ulizidi
That's my woman...Thank you my man😍
Njoo unipitie nikupashe mwili joto… hhaahha au hutaki sweetheart?Yes sweetheart...
Mvua hii sidhani kama nitakupitia...
Nataka ila mvua sii unaiona...Njoo unipitie nikupashe mwili joto… hhaahha au hutaki sweetheart?
Hiyo baridi ukifika nyumbani utajilaumu mwenywe wewe kua mbishi tu… hahahaNataka ila mvua sii unaiona...
Mimi siyo binadamu mbishi sweetheart... Nitajitahidi nipite...Hiyo baridi ukifika nyumbani utajilaumu mwenywe wewe kua mbishi tu… hahaha