WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.
Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.
Anyway.......
Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.
Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..[emoji39]
Sure. Those days

Watu8 Arushaone canta Filipo et al
 
Tuoaneni jamani. Teh teh.

Troisième Ceil unalionaje hili japo nasikia siku hizi simu yako haina keyboard eti. 🤣🤣Yaani unasoma tu na kulike pekee. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom