WanaJF inatakiwa tuonane jamani

WanaJF inatakiwa tuonane jamani

Wana jamii forums walioko Ukerewe tupange sehem ya kukutania
 
Miaka ile jf ilikua na adabu, siku zile tuliheshimiana na hapa ndani palikua ni kusambaza upendo.

Jf ya sikuizo ilikua na usiri, tulikutana, tulijikula, tuligombana sana lakini bado tuliheshimiana na hatukua tukifunguliana uzi.

Anyway...

Nina mengi ya kusimulia, ila kwa leo ngoja niishie hapa.

Ebu kwanza nitumie PM yako ili tuonane babe..[emoji39]
Kabisa mkuu…
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]na wewe mwenywe huna hiana…
Embu fanya kama unawasogelea hivi sweetheart uone nitakufanyaje…
Siwezi nikawadondokea sweetheart nisijie nikashindwa kurudi...
 
Itoshe tu kusema mna mapenzi ya kitoto Darlin. Na msije mkasema nawaonea wivu hapa ila ni ujinga mnaofanya ili tujue nyie ni wapenzi? Kwani nyie kwenye hii dunia ndio wa kwanza kupendana?.

Thread ya mtu mwingine mnaifanya ya kwenu? Anzisheni thread yenu ya kuchart wawili, Acheni ujinga.

Kwani PM ziliwekwa za nini?
Wanamrusha roho mahondaw wa watu [emoji2][emoji3]
 
Back
Top Bottom