Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua malengo yaliyo kifanya ujiunge jf?ndio kaama hivyo ilitufikie malengo yetu bora
Ndo haya unayo zungumzia kwenye uzi wako?ndio, nayajua sana
Kama na mengne basi endelea kujifunza hayo mengne wazo lako la leo haliwezi kutekelezekana mengine mengi sana
Ndo hivyo mkuudaaaah,
Kwa hiyo avatar tu, (unyoaji huo) siwezi kushirikiana na wewe.ahsalamu
kwenu wapendwa wa mtandao wetu pendwa jf,,,,,,
katika kukaa na kufikiri nikapata wazo zuri na lenye tija kwa kila mtu humu ndani kama tuki litekeleza na kulifanyia kazi kwani lita jenga umoja na ushirikiano na kusababisha wengine wote kuiga,
jambo langu ni kwamba tuweke utaratibu wa kutoa pole, pongezi kwa maswala nyeti ya kimaisha kwa members pindi wanapo pitia wakati mgumu kama wa msiba, kufiwa au hata kufilisika kiuchumi,,,
na piaa uwepo utaratibu wa kutoa pongez njema kwa wale wanao pitia na kuweza kuoa, kuolewa kupanda cheo kazin, kupanda daraja kimaisha na kuajiriwa,
kwa kufanya hivyo itatuweka wote pamoja,
katika kufanya hivyo kuwe na utaratibu wa rambi rambi kwa mfiwa wau mchango kwa mfanikiwa,
ili kuwatia moyo hawa wana jamii wenzetu
nawasilisha,,,,,,
Kiukweli siwezi kuwa na ushirikiano na viduku.kwani unyoaji ndio msaada au ushirikiano, we sema huna ushirikiano