Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ni ngumu sana aiseee katika sehemu kama hii yenye watu wa kila aina yaani kuna wazuri, wabaya , matapeli yaani watu wa kila aina wamo humu.
We jitafutie marafiki zako kama ni watano au zaidi wa uhakika ambao mtashibana na hata likitokea jambo haitakuwa ngumu kwao kukusaidia.
Hivyo tu hizo nyingine unazozifikiria hazina tofauti na hadithi za Abunuasi sababu haziwezi zikawa na kufanikiwa pia.