WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

Ilo wazo ungelitoa kwamiaka ileee, lingefaanikisha. Sio kwamiaka hii. JF imesha jaza wahuni, japo sio wote.
 
Ilo wazo ungelitoa kwamiaka ileee, lingefaanikisha. Sio kwamiaka hii. JF imesha jaza wahuni, japo sio wote.
duuuh, tusio wahuni tunaweza kufanya kitu
 
Kwa hiyo avatar tu, (unyoaji huo) siwezi kushirikiana na wewe.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…