WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

WanaJF, kwa nini tusiweke mpango wa kusaidiana katika matukio mbalimbali

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
ahsalamu
kwenu wapendwa wa mtandao wetu pendwa jf,,,,,,
katika kukaa na kufikiri nikapata wazo zuri na lenye tija kwa kila mtu humu ndani kama tuki litekeleza na kulifanyia kazi kwani lita jenga umoja na ushirikiano na kusababisha wengine wote kuiga,
jambo langu ni kwamba tuweke utaratibu wa kutoa pole, pongezi kwa maswala nyeti ya kimaisha kwa members pindi wanapo pitia wakati mgumu kama wa msiba, kufiwa au hata kufilisika kiuchumi,,,
na piaa uwepo utaratibu wa kutoa pongez njema kwa wale wanao pitia na kuweza kuoa, kuolewa kupanda cheo kazin, kupanda daraja kimaisha na kuajiriwa,
kwa kufanya hivyo itatuweka wote pamoja,
katika kufanya hivyo kuwe na utaratibu wa rambi rambi kwa mfiwa wau mchango kwa mfanikiwa,
ili kuwatia moyo hawa wana jamii wenzetu
nawasilisha,,,,,,
 
Dah...naona vijana wa keep limber bado hamjachoka[emoji87] [emoji41] [emoji14] [emoji12]
 
Sasa kama huo umri huo unachonga way na kuweka dawa nywele kama binti mcheza singeri..utaendelea kuomba msaada mpaka chooni..rubbish
usilo lijua litakupa shida sana,,, just usiamini kila unacho kiona
 
Back
Top Bottom