AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
✍️✍️Kwamba maoni ya watu mbalimbali kwako ni tatizo?
Moja ya Dalili mtu kakomaa ni kuweza kustahimili ma kuheshimu maoni ya watu wengine hata kama wanapishana au wanamtukana
📌Huwezi kulingana na wanaolipwa Mkuu
Yaani mtu kutoa bandiko ndo unalipwa? 😂Hao wenzako inawabidi kuvumilia kwa sababu wanachokifanya ndio ulaji wao.
Nimeongelea kutoa bandiko au nimeongelea wanachokifanya?Yaani mtu kutoa bandiko ndo unalipwa? 😂
Yani nijipe laana kwa hiyari yangu?Ngumu sana hiyo.Kuna siku nilijaribu kumtukuza mtukufu madam na taasisi yake humu JF
Nilitaka kutupa simu na nilijiona kweli mimi sina uvumilivu tena hapo nilijiandaa
Sipati picha hao jamaa wana mioyo gani hata kama wanalipwa na wamejificha