WanaJF mara moja moja muwe vaeni uhusika wa Lucas Mwashambwa na Tlatala

WanaJF mara moja moja muwe vaeni uhusika wa Lucas Mwashambwa na Tlatala

Nimeongelea kutoa bandiko au nimeongelea wanachokifanya?

Hujui kusoma vizuri?
Sasa mbona unatoa truntum mkuu?

What's wrong with you...! Unakuwa triggered kirahisi?

Kwa hiyo humu tunafanya nini kama sio kichapisha mabandiko?
 
Unandika ujinga, hakuna umuhimu wa kukujibu kwa mantiki.
 
Kama shida ni malipo hawana tofauti na wale wakalia mpini uliopakwa mafuta ya nazi, yaani kama unaeweza kutoka hadharani kuandika wanayoandika kwa malipo ya fedha basi hutashindwa kitu
 
Mwanaume kama unaweza kuvumilia matusi na kuwa chawa basi hata kufir...wa unaweza kuvumilia
 
Wakati wa Magufuli kulikuwa na matusi 10 times ila tuli survive.
 
Daah utani mwingine huu aisee hao hawataki kazi wanaamini ipo siku hayo maandishi ya kusifia yatawatoa tu..
 
hili nalo mkalitazame. Sema huyo mzee wa ladies and gentlemen ana uvumilivu mno
94882FF7-C619-44DF-A971-DC4C5CBB7282.jpeg
 
Back
Top Bottom