Sasa mbona unatoa truntum mkuu?Nimeongelea kutoa bandiko au nimeongelea wanachokifanya?
Hujui kusoma vizuri?
Sasa mbona unatoa truntum mkuu?
What's wrong with you...! Unakuwa triggered kirahisi?
Kwa hiyo humu tunafanya nini kama sio kichapisha mabandiko?
Unandika ujinga, hakuna umuhimu wa kukujibu kwa mantiki.Sasa mbona unatoa truntum mkuu?
What's wrong with you...! Unakuwa triggered kirahisi?
Kwa hiyo humu tunafanya nini kama sio kichapisha mabandiko?
Hakika umekuwa kitukoUnandika ujinga, hakuna umuhimu wa kukujibu kwa mantiki.
Sawa binti.Hakika umekuwa kituko
naunga mkono hojazile account ni za kikundi maalum kwa ajili ya pambio watu wako ofisini
Mwijaku is very funny person, ukimfatilia vizuri ni comedy anachekesha sana.Kama ulisha wahi kumtazama mwijaku nadhani huwezi ukawashangaa hata kidgo hao unao wataja .
Luka ni mwalimu nasikia na akaunti yakefb naijuaHao lazima wavumilie maana ndo kazi inayowaletea mkate mezani
mkuu tuwekee picha yake tuone je anaendana na anayoyaandika?Luka ni mwalimu nasikia na akaunti yakefb naijua
hili nalo mkalitazame. Sema huyo mzee wa ladies and gentlemen ana uvumilivu mno