Iko hivi:-
Mimi ni msichana, nimezaliwa peke yangu kwa baba na mama na nina miaka 23. Bahati mbaya mamangu allifariki miaka 4 iliyopita. Kwa muda wote huo babangu anaishi single na muda mwingi yuko peke yake, maana mm bado niko chuo.
Miezi 8 iliyopita baba alinitambulisha mwanamke fulani (umri wake ni 30s) kuwa ndiye mchumba wake, na anatarajia kumuoa. Baba yeye ana 54 hivi sasa na anampenda sana huyu mwanamke.
Lkn huyu mwanamke nishamuona club akiwa anacheza na jamaa fulani, mm nikapotezea. Wiki iliyopita nikiwa beach nikamuona tena kwa mbali akiwa na jamaa wanakimbizana, kisha wakakaa kimahaba na wakaanza kunyonyana mate(sina hakika kama ndiyo yule yule niliyemuona naye mara ya kwanza). Nilimuomba rafiki yangu awasogelee na awapige picha, pia achukue video. Akawasogelea na akavunga kama anaji-selfie kumbe anawadukua.
Video na picha za malavidavi waliyokuwa wakiyafanya zilichukuliwa na ninazo.
I love my dad, na sitaki afunge pingu za maisha na kahaba huyu. Naweza kumpoteza babangu kwa stress ama magonjwa ya zinaa..
Hivyo ninataka nipeleke ushahidi huu kwa baba ili amuache huyu mwanamke. WanaJF mnasemaje?