rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
ulikua unataka ukapige puli bafuni...ntumie pesa yangu fastaWazo nzuri, lakini si hilo nililokuwa nawaza kufanya.
Anyway unadalili fulani za kupatia, endelea kujaribu tena huenda wewe ndo ukawa mshindi wetu
Asante kwa kushiriki mkuu, endelea kukisia huenda wewe ndo ukawa mshindiulitaka kuangalia muda kama umewadia ili uanze ule mpango
Mda wa kutanga mshindi unakaribia endelea kukisiaulikua unataka ukapige puli bafuni...ntumie pesa yangu fasta
Asante kwa kushirikiyule dada aliyeuliwa akiwa mjamzito kimara
Yaelekea umechoka na unahitaji kumpuzika; asante kwa kushirikiUlitaka kuanzishia kitu thread
Asante kwa kushirikiKobayashi Maru (Lose Lose situation). Au TB Joshua
Hahaaaaaa... Jaribu tenaUlitaka kwenda kuoga lakini ukaona ushindi wa esta bulaya
Asante kwa kushiriki jaribu tenajamii forum
Asante kwa kushiriki mkuu; jaribu tenaUlitaka kuandika project yenye deadline leo.
Dalili za kushindwa hizo, acha wenzako wapige helaJamiiforums ya Siku hizi bwana!
Hizi bundle za vyuo ndio imeleta haya yote.