Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.
Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.
Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia:
Leo magereza wamebadilisha askari. Leo walikuwa na utu na wamem-treat vizuri Lissu.
Kwa teknolojia ya sasa, huwezi jificha popote.
Hata wakizima live streaming, watu watarekodi audio za hao mashahidi, lakini pia watu wanazo miwani yenye kamera.
Wana JF, nawaahidi nitawaletea full details za mashahidi wa siri wa serikali. As soon as wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, na mimi nitamwaga details zao full hapa JF.
Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul
Mto wa Mbu
Illinois – USA

- Mkoa aliozaliwa
- Kijiji
- Shule aliyosoma
- Mke wake
- Mtoto wake
- Namba yake ya simu
- Shule anayosoma mtoto wake