WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Inachekesha Sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Kipindi Cha nyuma Kuna askari Magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu, uku wamevaa kininja, walim- treat vibaya Kwa kudhani ya kwamba hawatojulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.

Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu kuanzia.
1.Mkoa aliozaliwa
2.kijiji
3.shule aliyosoma
4.mke wake
5.mtoto wake
6.namba yake ya simu
7.shule anayosoma mtoto wake.

Uzi ulikaa nusu saa mods wakafua.

Leo magereza wamebadilisha askari , Leo walikuwa na utu na wamem treat vizuri Lissu.
Kwa technology ya Sasa huwezi jificha popote.
Ata wakizima live streaming watu watarekodi Audio za hao mashahidi lakini pia watu wanazo miwani yeye Camera.

Wana JF, nawahaidi ntawaletea full details za mashahidi wa Siri wa serikali. As soon wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, Na Mimi ntamwaga details zao full hapa JF.

Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul.

Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Hiyo mbona hipo wazi kabisa wote watajulikana ...hao masha9di wahun9 wa sakia wanacheza very stupid game😁😁😁
 
Inachekesha Sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Kipindi Cha nyuma Kuna askari Magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu, uku wamevaa kininja, walim- treat vibaya Kwa kudhani ya kwamba hawatojulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.

Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu kuanzia.
1.Mkoa aliozaliwa
2.kijiji
3.shule aliyosoma
4.mke wake
5.mtoto wake
6.namba yake ya simu
7.shule anayosoma mtoto wake.

Uzi ulikaa nusu saa mods wakafua.

Leo magereza wamebadilisha askari , Leo walikuwa na utu na wamem treat vizuri Lissu.
Kwa technology ya Sasa huwezi jificha popote.
Ata wakizima live streaming watu watarekodi Audio za hao mashahidi lakini pia watu wanazo miwani yeye Camera.

Wana JF, nawahaidi ntawaletea full details za mashahidi wa Siri wa serikali. As soon wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, Na Mimi ntamwaga details zao full hapa JF.

Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul.

Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Safi sana✌🏿✌🏿✌🏿
79750752-592b-423b-ad07-13e75d52505a.jpeg
 
Hata wafanye nini, watajulikana tu...

Hata watumie secret codes za kichina kuwaficha, watajulukana...

Na hakuna shaka yoyote kuwa hao mashahidi ni waliokuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kambi ya iliyokuwa ya Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama...

Utawatambua kirahisi tu kwa uropokaji wao kuwa ndiyo hawa...

Mmoja juzi alijiweka wazi kabisa kwa kutamka kwa mdomo wake kuwa "Tatizo la CHADEMA ni Tundu Lissu. Akiondoka huyu, CHADEMA itakuwa salama"....

Huyu si mwingine bali ni Yericko Nyerere...!!!!

Sasa akili kumkichwa. Anataka wamuondoe Tundu Lissu wampeleke wapi kama si kauli inayochagizwa na kesi hii hii ya uhaini ambayo adhabu ya kosa lake ni kifo? Kunyongwa kwa kosa la uhaini ndiyo maana iliyobebwa na kauli ya Yericko Nyerere hapo juu...!

Watu ambao hawatakosekana kwenye orodha ya mashahidi hao wa siri ni Freema Mbowe mwenyewe, John Mrema, Salimu Mwalimu na Ezekiah Wenje to mention a few...

Hawa ndio wanasaidiwa na CCM na mfumo ili "kumwondoa Tundu Lissu" kwenye chama, ili kwa akili zao wanafikiri kitarudi mikononi mwao tena na ndipo kitakuwa salama kwa kauli ya Yericko Nyerere..

Lakini tunawakikishia hawa hayawani mambo matano yafuatayo👇🏻👇🏻 kuwa;

1. CHADEMA IMESHATOKA MIKONONI MWAO NA HAITARUDI TENA kwenye mikono yao!!.... Warudishe pesa za damu walizokula otherwise wakae mkao wa kulipia gharama ya uovu wao. Lakini watapona tu pale watakapokimbilia msalabani pa mwokozi Yesu Kristo kutubu dhambi na makosa yao...!!

2. Tundu Lissu hawezi kufungwa jela kwa kosa lolote ambalo halipo. Tundu Lissu ni alama ya HAKI Tanzania. Hana kosa wala hatia kwa makosa yote anayoshitakiwa nayo na wala HAWEZI KUFA ASILANI kwa matakwa yao unless Mungu ameamua yeye...!

3. Wao ndio watakaoanguka mmoja baada ya mwingine mpaka wote watakapokuwa wameisha kabisa kwa kuwa, wamechimba kaburi ili kumzika, lakini watatumbukia na kuzikwa wenyewe badala yake na jiwe wanalomviringishia limponde, litapanda mlima na kuwaponda wenyewe...!!

4. NO REFORMS NO ELECTION iko palepale na imeshajibu tayari. Kwamba, Hakuna uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 unless electoral reforms ziifanyike na CHADEMA hii chini ya masihi wa Mungu wa mbinguni Koreshi - Tundu Lissu iko na itadumu na itashiriki uchaguzi mkuu huu ambao sheria za kuusimamia tutaziboresha..!!

5. Huyu anayewapa pesa, Jezebel Bi Samia Suluhu Hassan (mwanamke na Mzanzibari), KAMWE HAWEZI KUWA RAIS WA TANGANYIKA kwa awamu inayofuata iwe jua au mvua maana Mungu amemkataa. Akilazimisha, atazikwa hata kabla hajakalia kiti hicho...!!

Msibabaishwe na chochote wafanyacho...

Msitishwe na maandalizi yoyote wafanyayo...

They will end in vain na tutarudi square one huku tukiheshimiana na kuthaminiana wote...!!
 
Back
Top Bottom