WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Hata wafanye nini, watajulikana tu...

Hata watumie secret codes za kichina kuwaficha, watajulukana...

Na hakuna shaka yoyote kuwa hao mashahidi ni waliokuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA kambi ya iliyokuwa ya Freeman Mbowe wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama...

Utawatambua kirahisi tu kwa uropokaji wao kuwa ndiyo hawa...

Mmoja juzi alijiweka wazi kabisa kwa kutamka kwa mdomo wake kuwa "Tatizo la CHADEMA ni Tundu Lissu. Akiondoka huyu, CHADEMA itakuwa salama"....

Huyu si mwingine bali ni Yericko Nyerere...!!!!

Sasa akili kumkichwa. Anataka wamuondoe Tundu Lissu wampeleke wapi kama si kauli inayochagizwa na kesi hii hii ya uhaini ambayo adhabu ya kosa lake ni kifo? Kunyongwa kwa kosa la uhaini ndiyo maana iliyobebwa na kauli ya Yericko Nyerere hapo juu...!

Watu ambao hawatakosekana kwenye orodha ya mashahidi hao wa siri ni Freema Mbowe mwenyewe, John Mrema, Salimu Mwalimu na Ezekiah Wenje to mention a few...

Hawa ndio wanasaidiwa na CCM na mfumo ili "kumwondoa Tundu Lissu" kwenye chama, ili kwa akili zao wanafikiri kitarudi mikononi mwao tena na ndipo kitakuwa salama kwa kauli ya Yericko Nyerere..

Lakini tunawakikishia hawa hayawani mambo matano yafuatayo👇🏻👇🏻 kuwa;

1. CHADEMA IMESHATOKA MIKONONI MWAO NA HAITARUDI TENA kwao tena...!!

2. Tundu Lissu hawezi kufungwa jela kwa kosa lolote kati ya anayoshitakiwa nayo na wala HAWEZI KUFA ASILANI kwa matakwa yao...!

3. Wao ndio watakaoanguka mmoja baada ya mwingine mpaka wote watakapokuwa wameisha kabisa kwa kuwa, wamechimba kaburi ili kumzika, lakini watatumbukia na kuzikwa wenyewe badala yake na jiwe wanalomviringishia limponde, litapanda mlima na kuwaponda wenyewe...!!

4. NO REFORMS NO ELECTION iko palepale na imeshajibu tayari. Kwamba, Hakuna uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 unless electoral reforms ziifanyike na CHADEMA hii chini ya masihi wa Mungu wa mbinguni Koreshi - Tundu Lissu iko na itadumu na itashiriki uchaguzi mkuu huu ambao sheria za kuusimamia tutaziboresha..!!

5. Huyu anayewapa pesa, Jezebel Bi Samia Suluhu Hassan (mwanamke na Mzanzibari), KAMWE HAWEZI KUWA RAIS WA TANGANYIKA kwa awamu inayofuata iwe jua au mvua maana Mungu amemkataa. Akilazimisha, atazikwa hata kabla hajakalia kiti hicho...!!

Msibabaishwe na chochote wafanyacho...

Msitishwe na maandalizi yoyote wafanyayo...

They will end in vain na tutarudi swuare one....!!
Hii comment imenitia nguvu sana hakika nimeipenda sana
 
Dada yake polepole na mama yake walihusika nini mpaka mkaenda usiku kumteka dada yake polepole?.
Shida yenu nyinyi Chadema ndio hii ndio maana mnaitwa NYUMBU bendera fuata upepo sasa nani alisema hilo ni sawa? Two wrongs don’t make a right
 
Anausika Sana tu, Kwa Lissu akiishi death row mtoto wake matunzo atapata wapi?
Chadema ni kikundi cha wahuni hawana moral authority kuwafundisha Ccm kitu. Ccm imechoka lakini Chadema sio mbadala
 
ndiyo nyoka
Sasa jino kwa jino mtawaweza Ccm wenye Dola? Vita mtakavyoshinda ni vya maneno tu ila ground mtauliwa sana kwa sababu na nyinyi ni wahuni na magaidi msio na silaha
 
Mpaka sasa ubao unasoma hv
Ndg mwandishi 0 vs Jamhuri 3
Ukweli kuwa huwezi kuwa spy mzuri kwa kuvujisha mipango yako ya namna ya kumshnda adui
 
Sasa jino kwa jino mtawaweza Ccm wenye Dola? Vita mtakavyoshinda ni vya maneno tu ila ground mtauliwa sana kwa sababu na nyinyi ni wahuni na magaidi msio na silaha
unafikiri hio dola yenyewe wote wako na wadharimu ingekuwa hivyo siri zao za,kibwege zingekuwa hazivuji
 
Mpaka sasa ubao unasoma hv
Ndg mwandishi 0 vs Jamhuri 3
Ukweli kuwa huwezi kuwa spy mzuri kwa kuvujisha mipango yako ya namna ya kumshnda adui
Pole, America inakutangazia live kuwa inakutafuta na inakupata, Tanzania Kuna Siri Gani?
 
Sio huyo tu, watu wameruka na judge mwenyewe.. Wamebully na kumtishia wasapu.

Judge imebidi aombe kuongezewa ulinzi.

Swali langu ni watu hawaogopi? 🤔
Ya jaji kutishiwa nilkuwa sijaipata
 
Inachekesha Sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Kipindi Cha nyuma Kuna askari Magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu, uku wamevaa kininja, walim- treat vibaya Kwa kudhani ya kwamba hawatojulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.

Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu kuanzia.
1.Mkoa aliozaliwa
2.kijiji
3.shule aliyosoma
4.mke wake
5.mtoto wake
6.namba yake ya simu
7.shule anayosoma mtoto wake.

Uzi ulikaa nusu saa mods wakafua.

Leo magereza wamebadilisha askari , Leo walikuwa na utu na wamem treat vizuri Lissu.
Kwa technology ya Sasa huwezi jificha popote.
Ata wakizima live streaming watu watarekodi Audio za hao mashahidi lakini pia watu wanazo miwani yeye Camera.

Wana JF, nawahaidi ntawaletea full details za mashahidi wa Siri wa serikali. As soon wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, Na Mimi ntamwaga details zao full hapa JF.

Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul.


Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Utaburuzwa mahakamani na wahusika
Mahakama ikisema siri wewe ukijitia unawajua jiandae
 
Sawa. Kwa kweli leo askari hata hawakutaka.kumgusa Lisu
Kweli nimeamini silaha ya mtoto ni kiliochake atakacho kitoa

Mtoto akichapwa akilia mzazi huingiwa na hofu na kusitisha fimbo

Majizi Lisu kasukumwa hovyo Wananchi wamelia leotumeona yaliyo tokea
 
Back
Top Bottom