WanaJF, Nawaahidi mashahidi wa Siri wa serikali tutawaweka wazi taarifa zao baada tu ya kutoka kutoa ushahidi

Hawajaweka Dada yake na Mama yake tu ila mkewe na watoto wote wameanikwa, huko Mwanza jamaa wamemkata bodaboda kichwa wakamuacha na Mwili wake walipokamatwa na Polisi wakakubari kweli wao ndio wamemuua na kumkata kichwa, sasa unaijua Mob Justice wewe? Achana na ile ya Hakimu sijui Jaji anajimwambafai Oda Oda Mob Justice haina Oda
Mob justice ndio suluhisho pekee kwa sasa sababu mahakama zimeshindwa kutenda haki.
 
Mbona wao wanavunja Sheria! Kumsukuma Lissu sio kuvunja Sheria? Kuingia na mavazi ya nijab au ninja si kuvunja Sheria? Watu wamechoka kama mbwai iwe mbwai tu.
Waoga kinomanoma Nchi inaongoza kwa kua na askari waoga waoga wanaingia na Hijabu sijui Niqabu Mahakamani wanamuogopa nani kificha sura? Halafu ningekua ni mimi Jaji au Hakimu ningetoa Oda kwamba Marufuku mtu kuingia kwenye Mahakama yangu akiwa kaficha sura
 
Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.

Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia:
  1. Mkoa aliozaliwa
  2. Kijiji
  3. Shule aliyosoma
  4. Mke wake
  5. Mtoto wake
  6. Namba yake ya simu
  7. Shule anayosoma mtoto wake
Uzi ulikaa nusu saa, mods wakaufuta.

Leo magereza wamebadilisha askari. Leo walikuwa na utu na wamem-treat vizuri Lissu.

Kwa teknolojia ya sasa, huwezi jificha popote.
Hata wakizima live streaming, watu watarekodi audio za hao mashahidi, lakini pia watu wanazo miwani yenye kamera.

Wana JF, nawaahidi nitawaletea full details za mashahidi wa siri wa serikali. As soon as wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, na mimi nitamwaga details zao full hapa JF.

Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul

Mto wa Mbu
Illinois – USA
tafdhari sana, hizo details zote na uzipost kila socia media- huko instagram, facebook, X, google news na sehemu zote na tuone hiyo order ya mahakama itafanyaje kazi kwa hizo media za nje... Shukrain in advance. Watasema tu- " taken by event"... non enforceable.
 
Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.

Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia:
  1. Mkoa aliozaliwa
  2. Kijiji
  3. Shule aliyosoma
  4. Mke wake
  5. Mtoto wake
  6. Namba yake ya simu
  7. Shule anayosoma mtoto wake
Uzi ulikaa nusu saa, mods wakaufuta.

Leo magereza wamebadilisha askari. Leo walikuwa na utu na wamem-treat vizuri Lissu.

Kwa teknolojia ya sasa, huwezi jificha popote.
Hata wakizima live streaming, watu watarekodi audio za hao mashahidi, lakini pia watu wanazo miwani yenye kamera.

Wana JF, nawaahidi nitawaletea full details za mashahidi wa siri wa serikali. As soon as wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, na mimi nitamwaga details zao full hapa JF.

Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul

Mto wa Mbu
Illinois – USA

Ubarikiwe mkuu, kazi yako ni njema. wewe ni mzalendo, Rudisha ule Uzi wa yule askari uchwara, kabla mods hawajaamka. 😃
 
Inachekesha sana, serikali ya Samia ipo nyuma ya muda.

Kipindi cha nyuma, kuna askari magereza walikuwa wanamsindikiza Lissu wakiwa wamevaa kininja. Walim-treat vibaya kwa kudhani kwamba hawatajulikana, lakini nyinyi ni mashahidi.

Niliwaletea full details za askari aliyemsukuma Lissu, kuanzia:
  1. Mkoa aliozaliwa
  2. Kijiji
  3. Shule aliyosoma
  4. Mke wake
  5. Mtoto wake
  6. Namba yake ya simu
  7. Shule anayosoma mtoto wake
Uzi ulikaa nusu saa, mods wakaufuta.

Leo magereza wamebadilisha askari. Leo walikuwa na utu na wamem-treat vizuri Lissu.

Kwa teknolojia ya sasa, huwezi jificha popote.
Hata wakizima live streaming, watu watarekodi audio za hao mashahidi, lakini pia watu wanazo miwani yenye kamera.

Wana JF, nawaahidi nitawaletea full details za mashahidi wa siri wa serikali. As soon as wanatoka kutoa ushahidi wa kijinga, na mimi nitamwaga details zao full hapa JF.

Aione
DPP
Nassoro Katuga
Mama Abdul

Mto wa Mbu
Illinois – USA
Hata wewe tunakujua in details, lakini kutokukuweka hadharani ni nzuri zaidi!
 
Jamii forum hawawezi kuruhusu huo uzi.

Sema tutawajua tuu hata kwa Codes.
 
Hata mkiwajua mtawafanya nini? Mbona mafwele mmempost sana na hakuna mlichomfanya? Acha mbwembwe tunajua Jinsi nyumbu wa chadema mlivyo waoga ni mikwara tu mitandaoni
 
Mafwele na mkewe anaitwa ...... mtoto wake yule wa kike anasoma ile shule anaitwa ..... alisoma shule moja na ..........

Jaza nafasi zilizoacha wazi
 
Taarifa hadi za michepuko wa mafwele mnazo ila hamna kilichotokea
 
Ni aibukama Taifa tunashuhudia uvunjwaji wa haki na vyombo vikishindwa kusimamia haki na mtu anateseka gerezani!!

Kuna jambo lilipaswa kufanywa kwenye ishu hii!!!
Ndio maana Kanisa Katoliki, limewataka waumini wake kusali, kugombea Taifa Amani na Haki. Na kazi iendelea siku hizi anafanya marejeo na kuhushuria mihadhara "hema la Kawe"
 
Back
Top Bottom