The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,197
- 14,771
Unapoanzisha vita usituchagulie eneo la kupiga mabomu labda nikuambie ilivo jamaa watu kule mtandaon wamemfata wamemwaga habari za umalaya wa mkewe ndoa chali kukoleza wamehamia kwa mke wamepiga za mumewe kutembea na mdogo wake na ushahidi kibao jamaa aliko sijui ila najua hana rahaSasa ulivyoweka mtoto wake na shule anayosoma mtoto wake lengo lako lilikua nini au mtoto anahusikaje hapo?
Hivo ndo dunia ilivo tunapokukanya usifanye yasiyo haki tunamaanisha tutapoanza kukulipiza tutahakikisha unaumia mara mbili ili iwe funzo kwa wote wasitendee mtu ubaya.
Kuna dogo aliiba kura kipindi cha magu arusha ya udiwani wahuni wakamukanya akawa anajitapa na kushirikiana na polic kutesa wapinzani.
Wahuni wakajua mkewe huwa anaenda kikazi kenya sana paap wakamtumia muhuni wa kenya hela ahakikishe anatuma picha zake za uchi .dogo alikuwa na vya kutembea na wife kila mahali navoongea na ww wahuni walimtumia picha live .mpaka leo kageuka teja analewa kila siku .
Mda wa kuloga zama hizi hakuna unapotufanyia uovu sisi kisa madaraka kumbuka wanao siku nzima hawawi na mabodigadi ,ndugu zako wengine tuko nao mabaa ,mama yako mzazi tuko nae mtaani tunalewa nae kimsingi .
Mbona watu mfano huyu askali walikuwa wanajua ya mkewe walinyamaza sababu walichukulia hajawakosea pia ni dhambi kumharibia familia mtu mwema .
VITA NI VITA MURA VITA HAVINA MACHO